ndani ya D ni 2 points...one point ipo pale tu zinapotokea free throws yaan ki football penat hua free throws zinaanzia 1 mpaka 3 hutegemea aina ya faulo na eneo
Nimeelewa mdauHT ni kifup cha half time hivo zipo mbili...firs half ina 1Q na 2Q ambazo ni dk 20 jumla au 24 kwa NBA PHILIPINES NA CHINA...second half ni 3Q na 4Q ambapo nazo huchukua dk 20 mpaka 24 kwa baadh ya ligi hasa tajwa hapo juu....over time huesabiwa kama second half
Tulia kidogo nitakushushia odds 3 za ukweli!Wadau Habari Za Mda Huu..... Naomba Mnisaidie Tips Za Leo Kwasababu Jana Muhindi Kanilaza Njaa
Kama jmoKampuni za kitanzania bure kabisa, yaani hata kujibu maswali hawajibu. Unawatumia ujumbe wanausoma tu kimya kimya.
Crdb sijajua ada zao zikoje.Vipi kuhusu crdb? Mimi leo nmeenda kusajili card yangu nasubiria msg ya verification nianze kukufollow maujanja yenu na akina ankai na wengine humu
Chukua hizo odds!Wadau Habari Za Mda Huu..... Naomba Mnisaidie Tips Za Leo Kwasababu Jana Muhindi Kanilaza Njaa
Aaaaaah hongera kiongozi kumbe za kuambiwa ulichanganya na za kwako basi apo umetisha ndo inavyotakiwa ivyo mwambaMi niliweka opposite so kajiwe kaliingia boss kazi
Ingekuwepo hio mpaka leo hii hakuna ambaye angeshuhulika na 1xbet kabisa mkuu! Inshort utamaliza bando, hamna kampuni ya namna hio nchini!WAkUU HABARI ZA JIONI?
NAOMBA KUFAHAMISHWA KAMPUNI ZA TZ AU ZENYE TAWI HAPA TZ AMBAZO ZINAFANANA NA 1XBET YAANI UNAPATA INPLAYS ZOTE MPAKA ZA MCHANGANI NA PIA HAZIKATI KODI
Vip mdau umeshajaribu kudeposit ikakubali?Hatimaye kadi yangu ya NMB imekuwa activated kufanya transactions online View attachment 950433
WAkUU HABARI ZA JIONI?
NAOMBA KUFAHAMISHWA KAMPUNI ZA TZ AU ZENYE TAWI HAPA TZ AMBAZO ZINAFANANA NA 1XBET YAANI UNAPATA INPLAYS ZOTE MPAKA ZA MCHANGANI NA PIA HAZIKATI KODI
Nenda hapo kwenye reply box bonyeza attach file itakuja sehemu ya Ku choose photo files or sound nenda sound then recordWakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
Wakuu ivi hii JF haina option ya kurekodi sauti kama watsap kisha niitume umu ili kila mdau aweze kuupata mchango wangu na ushauri wangu kuhusu swala la handcap za basketball maana kwa kuandika asee maneno ni mengi yaaani maelezo ni mengi na kila siku naona uvivu kuandika je hakuna anayejua iyo njia ili niweze kusambaza upendo kwa wana wote twende sawa katika handcap
We record vzr mkuu ukimaliza kwny reply kuna option ya attach audioMkuu andika tu hata kama ni kwa episode sio mbaya maana sizan kama kuna option ya voice note jf.