Ngoma ipo Hv! Kwanza kabisa tufanye kila mtu anaijua Option ya Handcap inamaanisha nn! Kama Kuna wasioijua basi somo lake linakuja kivyake vyake ili tuelewane zaidi! Mr Ankai Amesema kuna vitu 6 anavizingatia kwenye kubeti Handicap za kwenye Basketball!
1. Anabeti kwa Quarter na sio full time! Handicap ya Full time Lolote laweza kutokea maana mchezo unabadilika kila saa ila Quarter ina dakika 10 tuu au 12 kwa mechi za NBA na Ligi zingine kubwa! Kwahyo Anapiga kwa Quarter na anashauri Tubeti kuanzia Quarter ya pili na sio ya kwanza coz Quarter ya kwanza Timu zote 2 zinakuwa na nguvu kubwa hvyo lolote laweza kutokea kwahyo cha Muhimu Ni kuangalia Score board yaani ubao wa matokeo Timu inayoongoza basi ina uwezekano mkubwa wa kushinda
2. Score Difference yaani tofauti ya Magoli (points) Tofauti ya points ndo itakuongoza Timu ipi ipo vizuri na ipi ipo vibaya
3. Uwezo wa Timu! Hapa unatakiwa kuangalia uwezo wa timu kwenye kufunga na kuzuia Magoli hapo utapata mwanga yupi wa kumpa Hii inapendeza zaidi ukiangalia kupitia live video 1x bet mara nyingi wanaonesha kwahyo utagundua uwezo wa timu!
4. Kuweni makini kwenye kuchagua Full time na Quarter wengi wanachanganya hapa! Hakikisha unachagua Quarter ndio rahisi, Full time ni hatari kwa afya Coz unaweza ukachagua timu ukaitolea points 2.5 halafu muda huo wapo Quarter ya 2 matokeo 49-51 sasa hapo mpaka Game inaisha lolote laweza kutokea ikiweko Kupigwa na Mrusi Hvyo tuwe Makini kwenye Quarter
5.Usiogope Kuliwa ! Kuliwa ni sehemu ya Mchezo tunasema Ajali kazini nadhani wote humu tushawahi kupunwa na Mrusi hvyo tusiogope kuliwa unapoliwa ndipo unajifunza
6. Uwezo wa ushindi wa timu yaani Winning Consistency ya timu unaweza kuta Quarter ya kwanza kashinda Wa home , ya Pili kashinda wa away , ya tati kashinda wa home tena hapo usishangae Cha msingi angalia akishinda anashinda kwa tofauti ya goli (points ) ngapi then unaweka mpunga!
Mwisho kabisa Ankai Amesema Tamaa ni adui wa Huu mchezo hvyo Tamaa tuweke pembeni halafu Stake Hakikisha unapangilia vizuri stake zako sio ukimpiga mara tatu unaweka yote aisee utapigwa halafu uanze upya ! Amesema huu ni mwanzo tuu Ataendelea kuleta maujuzi
Na. Mwandishi wenu Million Dollars
MAPAMBANO YAENDELEE
GOD bless U All
RESPECT ANKAI [emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544][emoji1544]