mkuu game uliichungulia kwa babu nini??duh kama ulimpa madrid umekula X5 ....!!!
kie kie kie kie hakuna bro, nimesoma statistics za Madrid nikaona Bayern hawaponi, leo mzigo woote pamoja na mtaji nawapa chelsea.
kie kie kie kie hakuna bro, nimesoma statistics za Madrid nikaona Bayern hawaponi, leo mzigo woote pamoja na mtaji nawapa chelsea.
Uliweka akiba ya chai na mboga ya kesho mkuu?
Hukusoma statistics za spanish vs english vizuri mkuu.pole.
pole mkuu, mimi game hizi kubwa huwa naziogopa sana, huwa siweki pesa yangu!kie kie kie kie hakuna bro, nimesoma statistics za Madrid nikaona Bayern hawaponi, leo mzigo woote pamoja na mtaji nawapa chelsea.
mzigo nau2pia kwa atletco kwa 7bu anaemtoa barka ni must awe bingwa
Niambieni mechi za leo. Nibeti jee. Si mnajua bongo pesa isakwa kwa kila hali.
weka imani kwa hobro,valencia na grimbsy
Asante.
Ngoja madogo wanibetie.
mzigo nau2pia kwa atletco kwa 7bu anaemtoa barka ni must awe bingwa
Anae mtoa Barca nusu fainali ndiye huwa anakuwa bingwa siyo robo fainali,rejea Liverpool na Juventus walishawahi
kumtoa barca robo fainali na wakafungwa fainali,lakini mara zote madrid alipomtoa bingwa mtetezi katika hatua hii
alichukua ubingwa hivyo siku ya fainali mm mzigo wote taweka kwa madrid..
kumbe na wewe umekariri huna tofauti na unayemkosoa.
Nadhani hujaelewa mkuu kinachozungumzwa..
Nimekariri nini?..
eti madrid akimtoa bingwa huwa ndio bingw....
eti anayemtoa barca huwa anakuwa bingwa....