Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


metz si w2 wazuri wa kuwekea mikeka
 
Leo mapema tu, Nimerudi wazee wenzangu...
 

Attachments

  • 1399102600471.jpg
    78.8 KB · Views: 77
Mshindwe nyinyi...
 

Attachments

  • 1399102781680.jpg
    88.8 KB · Views: 71
leo nawapa westham win, sunderland draw, man city win, malaga win,mainz 05 win,barnsley win! natupia elfu 50, come what may
 
Hahahahahaha,nipige kimya wakati ww ndy umedandia treni kwa mbele ilitakiwa upite tu kwenye vitu usivyoelewa siyo

lazima kila kitu ucomment siku nyingine utagongwa nyuma kudandia treni kwa mbele..

wew ndio huelewi unachoandika hivyo piga kimya...!!!
 
Hahahahahaha,nipige kimya wakati ww ndy umedandia treni kwa mbele ilitakiwa upite tu kwenye vitu usivyoelewa siyo

lazima kila kitu ucomment siku nyingine utagongwa nyuma kudandia treni kwa mbele..

piga kimya wewe fukusu we ndio umedandia uzi , watu tuko na uzi toka umeanza, nenda primary kajifunze kusoma na kuelewa we pimbi!
 
arsenal v westbrom
chelsea v swansea
milan v ac milan

Nasubir tokeo apa,,nshachinja vidola vyangu kadhaa
 
Kudadadadddeki jana nimepatia matokeo yote ya ligi za ulaya exactly. Tell you what guys? Nimeamka leo saa 5 kumbe nililala na viatu! Jana niliingizia serilali mapato ya kutosha thru breweries kupitia vinywaji vyake vitukufu.
 
Ma-investa mpoo.....?
Wap rahim, asram, kibanga bila kumsahau the CEO himself rockcity native
 
dadek zenu AS ROMA , yani ninyi ni wa kupgwa 3-1 na CATANIA jalala la points ! Maskini mkeka wangu unachanika mapemaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…