Salum Mazwazwa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,256
- 1,369
tuletee hiyo ngozi ssaBarcelona akitoa 2+ mnichune ngozi.
Hii si iliisha kwa goli 2 tutuletee hiyo ngozi ssa
direct win
Njoo pm nimekupmNdicho kinachosemwa kila siku.. Kuweka timu kuanzia 3+ kwenye mkeka mmoja ni hatari na especially ukivizia zitoe odds kubwa,,ni bora uweke timu 3 zenye odds 1.7 ila option zenye usalama na hapa kwa soka option hiyo ni magoli tu
hahahahahahaha balaaa yani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ujue huu mchezo ukiufanya siriaz kutafuta hela huwezi kukosa 10 daily...ila ukiufanya ajira ya kukulipa mshahara wa mamilioni utakufa siku si zako
Tena kuuubwahahahahahahaha balaaa yani
Hii ni Loss hata kabla haijaisha[emoji51] [emoji51] [emoji51]Testing.
Hapo weka stake ndogo maana hawa wajinga hawajielewagi sometimesView attachment 975038
maajabu ya soka ndio hayo. nadhani hao wakubwa wkend hii wamewapa watu maumivu yasiyo pimika
Hii si iliisha kwa goli 2 tu
2+ (2. 5)tuletee hiyo ngozi ssa
Tumekoma tutafuata ushauri!!Kitu ambacho wengi tuna kosea ni mambo mawili
1. Tamaa ya kula pesa nyingi kwa wakati mmoja hali ya kuwa umeweka dau kiduchu ni kinyume na taratibu za bet.
2. Ushabiki hautakiwi kwenye game ya betting, hata kama team yako iko uwanjani, usiiamini hats kidogo kwa maana lolote laweza kutokea na ikawa msiba kwako.
Nb:
Ukihitaji kushinda kila siku hakikisha unaweka magoli na sio direct win. Mfano mzuri ni jana kwa Chelsea na man city wote hao walipoteza kwa direct win.
Yeyote ambae aliweka idadi ya magoli kuanzia 0.5over jana ilikuwa shangwe kabisa.
2+(1.5) [emoji736] [emoji736]2+ (2. 5)
ahahaha washazoe kuliwa awo mkuu waache tu waendelee kuliwaWanavyolalamika humu utadhani hawatabeti, yani akili za wabetiji ni kama za watoto wadogo. Unamtia konzi analia anasema achezi tena na wewe ukimpa pipi anafurahia anajisahau anakuja kucheza tena na wewe. Cycle ndio ipo hivyo, wengine wanajidai eti kuanzia leo nastaafu halafu anabetia uvunguni akila 20k atarudi mbio hapa kuinadi mbinu mpya!