Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu void unatumia card ya bank gani huku 1xbet na mimi nikafungue maana hapa ninayo ya equity bank ila nmejaribu kuitumia 1xbet kudeposit inagoma wakati kwenye website zingine kama ebay inapiga mzigo vizur
Equity bank hawa ruhusu gambling activities ndo maana wana kukatalia kila unapo jaribu kuufanya huo muamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…