Naomiselevesto
Senior Member
- Jun 10, 2018
- 119
- 159
Unajua mini kidi kudi sisi tunaobeti ndio tunakosea ni kweli betting ni bahati ila asilimia 98 ya ushindi wa bahati sisi ndio tukosea na kufanya iwe vaisi vesa yaa asilimia 98 ya kushindwa na kiliwa sis ndio tunayo cheza ila ukiifuata vizuri betting kuna hela nyingi sasa japo ni faida ndogo ila ukizilimbikiza zinakua nyingi.wengi wetu humu ndani sio wageni wabeti ni wenyeji sana na wengine ni manguli wa kubet lakini hao hao ndio uatawakuta ni mabingwa wa kulalamikia betting unapokuwa ni nguli wa kubeti ni lazima uwe ulishajua ligi nzuri ni zipi na ligi mbovu ni zipi, lazima ujue ligi gani zina ongoza kufungana magoli mengi na ni ligi gani hazifungani magoli mengi pili lazima uzitafute team zenye uwezo mkubwa wa hali ya juu kwa mfano timu ya Hong kong kwenye ligi yao ikicheza hii timu uzue ni goli 10 au 5 hapo inakuwa imekutana na timu ngum.kuna Jax,Psv. Garatasalai nk niambie hapo wew unaebeti ukiwa unacheza na hizo timu na ukachagua option ya over kuanzia 0.5, 1.5,2.5 ishia hapo weka hela ya kutosha pia weka mechi moja kwenye mkeka mmoja hapo utakuwa na 98% ya ushindi.sasa sisi wapenda vya kuteleza unataka uweke 2,000 upate 100,000 yaani hapo kama unatabia ya kucheza betting kwa kila siku basi kwa mwaka mmoja uatakula Mara moja na utaliwa Mara 364.Sijasema haiwezekani ila ndo ivo kusubiri ndo kama kote
Na lingine sio lazima kila siku ubet mkuu,,kuwa na kiasi usifanye betting kama ajira ambayo kila siku eti uingize mamilioni..unaweza kubet kila siku lkn sio kila siku unabet stake kubwa kubwaUnajua mini kidi kudi sisi tunaobeti ndio tunakosea ni kweli betting ni bahati ila asilimia 98 ya ushindi wa bahati sisi ndio tukosea na kufanya iwe vaisi vesa yaa asilimia 98 ya kushindwa na kiliwa sis ndio tunayo cheza ila ukiifuata vizuri betting kuna hela nyingi sasa japo ni faida ndogo ila ukizilimbikiza zinakua nyingi.wengi wetu humu ndani sio wageni wabeti ni wenyeji sana na wengine ni manguli wa kubet lakini hao hao ndio uatawakuta ni mabingwa wa kulalamikia betting unapokuwa ni nguli wa kubeti ni lazima uwe ulishajua ligi nzuri ni zipi na ligi mbovu ni zipi, lazima ujue ligi gani zina ongoza kufungana magoli mengi na ni ligi gani hazifungani magoli mengi pili lazima uzitafute team zenye uwezo mkubwa wa hali ya juu kwa mfano timu ya Hong kong kwenye ligi yao ikicheza hii timu uzue ni goli 10 au 5 hapo inakuwa imekutana na timu ngum.kuna Jax,Psv. Garatasalai nk niambie hapo wew unaebeti ukiwa unacheza na hizo timu na ukachagua option ya over kuanzia 0.5, 1.5,2.5 ishia hapo weka hela ya kutosha pia weka mechi moja kwenye mkeka mmoja hapo utakuwa na 98% ya ushindi.sasa sisi wapenda vya kuteleza unataka uweke 2,000 upate 100,000 yaani hapo kama unatabia ya kucheza betting kwa kila siku basi kwa mwaka mmoja uatakula Mara moja na utaliwa Mara 364.
Ni kweli mwaya .haya ngoja niangalie ligi za Leo baadae nijilipue.Na lingine sio lazima kila siku ubet mkuu,,kuwa na kiasi usifanye betting kama ajira ambayo kila siku eti uingize mamilioni..unaweza kubet kila siku lkn sio kila siku unabet stake kubwa kubwa
Mm hata card ya crdb imeanza inagoma hivo na tumia skrill kutoka bank then kwnda 1xbetEquity bank hawa ruhusu gambling activities ndo maana wana kukatalia kila unapo jaribu kuufanya huo muamala
Huyo ni mtu wa kujalibu zali tuHuyu ndio mwanamme roho mbaya kamuua Chelsea na man city View attachment 975214
Hiiii kampuni gani????Tu jalibu jackpot game 6 tunaweza ludisha mitajiView attachment 975043
Sasa kwa odds ya 1.14 normal man cty ukimpa double chance si 1.04 sasa si akheri ungeomba goli moja au mawili mkuu?daah mi doible chance zangu naangaliaga odds kuanzia 1.80-2. somethingMan city msenge sana ,tena sana,nilimpa double chance akashindwa,bora watan zangu Liverpool
Ahsante sana umenifungua bro now naweza deposit to 1xbetMm hata card ya crdb imeanza inagoma hivo na tumia skrill kutoka bank then kwnda 1xbet