Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi wadau handcap maana yake nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
handcap maana yake timu ambayo ipo weak inagewa magoli kabla hata ya mechi kwa mfano liverpool vs newcastle.hapo newcastle yupo weak sasa anaweza akapewa magoli 4 mechi ikianza newcastle anakuwa na magoli manne kwa hiyo mchezo ukiisha 0-0 inamaana newcastle amewin ila ikiisha liver 5 na newcastle 0 hapo liver amewin kwa sababu ukiweka ile handcap inakuwa liver 5 na newcastle 4...ipo hivyo mkuu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi sijui maana ya handcap

Na maelezo yako yamezidi kunichanganya zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…