Na mi nilikuwa na wazo kama lakoNilitaka ninunue line ya SafariCom kwa ajili ya mobile payment sasa kuchungulia nikakuta M-pesa Kenya hakuna nayo
Kwa mfano: Liverpool FC v Mbao FCHata mimi sijui maana ya handcap
Na maelezo yako yamezidi kunichanganya zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nimekusomahandcap maana yake timu ambayo ipo weak inagewa magoli kabla hata ya mechi kwa mfano liverpool vs newcastle.hapo newcastle yupo weak sasa anaweza akapewa magoli 4 mechi ikianza newcastle anakuwa na magoli manne kwa hiyo mchezo ukiisha 0-0 inamaana newcastle amewin ila ikiisha liver 5 na newcastle 0 hapo liver amewin kwa sababu ukiweka ile handcap inakuwa liver 5 na newcastle 4...ipo hivyo mkuu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Niumzie mimi hiyo hela nihamishie kwenye akaunti yangu mimi nakutumia kwa m pesa ni pm tuongeeJamani kuna MTU yoyote amesha withdrew Kwenye 1xbet, Mzigo Wangu Laki 5 Mwezi wa Tatu huu sina solution namna ya Kutoa, msaada plz
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu usiwe na wasi wasi porto yupo vizur mpira dakika 90 ..lets wait naamini mungu ataweka mkono wakeHuyu Porto kama simuelewi!
Pole sana mkuuView attachment 981368
Sijui nako huku ntasalimika Mungu akaweke mkono wake Porto azamishwe tu
mkuu usiwe na wasi wasi porto yupo vizur mpira dakika 90 ..lets wait naamini mungu ataweka mkono wake
Sent using Jamii Forums mobile app