Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hivi Ngoja niulize inamaana watu wote humu hakuna wanaoendelea kutumia 1xbet.? Na wa naweza Ku deposit na Ku withdrawn bila Shida wakatupa mbinu na Sisi tuwe kama wao.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gemu za Iran Oman na Korea Saudia, pamoja na mechi moja ya Ligi ya Australia hela njenje kwa wanaotaka niwamegee jamvi la leo.....Jana kama ulifuata niliyokueleza kwa games za man, city na Chelsea hope now unafurahia matunda....Kesho kwa wale wa Champions League usitoe direct win kwa yeyote...Wengi wape under 4.5 full time.
 
ok kumbe kuna kamzunguko kidogo
 
tumegee mkuu
 
SAMAHANI KUNA TATIZO NA MITAMBO YA SPORTPESA.
JARIBU TENA.
AHSANTE KWA KUVUTIWA NA SPORTPESA!
 
tuma basi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…