Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
-
- #1,801
dadek zenu AS ROMA , yani ninyi ni wa kupgwa 3-1 na CATANIA jalala la points ! Maskini mkeka wangu unachanika mapemaaa...
Kudadadadddeki jana nimepatia matokeo yote ya ligi za ulaya exactly. Tell you what guys? Nimeamka leo saa 5 kumbe nililala na viatu! Jana niliingizia serilali mapato ya kutosha thru breweries kupitia vinywaji vyake vitukufu.
dadek zenu AS ROMA , yani ninyi ni wa kupgwa 3-1 na CATANIA jalala la points ! Maskini mkeka wangu unachanika mapemaaa...
Roma hawana maana
hiyo game niliigopa sana halaf game za italy nux sana
chelsea, atletco madrid ful kuchana mikeka ya watu leo, real madrid naye kashapigwa 0-1 HT now!
mkuu roma kapigwa 4-1 sio 3-1 ! tena kashindiliwa kama mtoto hadi HT 2-1 na cha pili akaongezwa tena 2, ft 4-1, inamaana roma walizidiwa kweli mbinu kabisaaa, au ndio kamari za mafia wa italiano !!!dadek zenu AS ROMA , yani ninyi ni wa kupgwa 3-1 na CATANIA jalala la points ! Maskini mkeka wangu unachanika mapemaaa...
mkuu roma kapigwa 4-1 sio 3-1 ! tena kashindiliwa kama mtoto hadi HT 2-1 na cha pili akaongezwa tena 2, ft 4-1, inamaana roma walizidiwa kweli mbinu kabisaaa, au ndio kamari za mafia wa italiano !!!
Aliweyeweka 1-1 odd ni zadi ya 20, au 1-1&3+ au 1-1&GG au odd ni zaidi ya 30 ! kama ni umafia wamevuna sana kwa hii match hawa waitaliano...!!
ijumaa wapi wakati kila siku kuna match..... ukiamua ni j3 hadi sunday full kujibetishasiku mbaya leo kweny investment,, turudi tena ijumaa ijayo...
msim ujao ni mwendo wa gg tu
ijumaa wapi wakati kila siku kuna match..... ukiamua ni j3 hadi sunday full kujibetisha
mbona mwaka mzima ni msimu full matches america, asia africa, ooooh ukisema msimu wamaanisha ulaya tu?
tupo ndugu ulipotelea wapi au ndo unasubir worldcup ?
Pole!!Wadau kama kawa mkeka wangu leo ni kwa wafuatao
juve,r.sociedad,arsenal,aik,steat na viking! Nimemaliza hapa natupia elfu 25/=tu tutaongea kesho!
pole!!
Wadau kama kawa mkeka wangu leo ni kwa wafuatao
juve,r.sociedad,arsenal,aik,steat na viking! Nimemaliza hapa natupia elfu 25/=tu tutaongea kesho!
Mafia washanunua game ya fiorentina
Hahhahahah usijali watasawazisha na kuongeza