labda kwenye kupata mnunuzi wa bitcoin?
mzee baba naona kanjibai anakukoma siku hizimikeka jamani
wanunuzi wapo wengi tu mtandaonilabda kwenye kupata mnunuzi wa bitcoin?
labda kwenye kupata mnunuzi wa bitcoin?
vip kuhusu garama mkuu kwenye kuuziwa mfano kama unataka 10000 utaipata kwa hiyo hiyo au kuna gharama itaongezeka hapo?wanunuzi wapo wengi tu mtandaoni
Kwa mfano nime withdraw kutoka 1xbet kwenda bitcoin, asa kuipata io hela ina maana nina SELL bitcoin ili niipate io ela au ntakua nmekosea
uko sahihiKwa mfano nime withdraw kutoka 1xbet kwenda bitcoin, asa kuipata io hela ina maana nina SELL bitcoin ili niipate io ela au ntakua nmekosea
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna gharama ndogo sana, kama nanunuaga bitcoin mpaka za buku mbili ya kibongovip kuhusu garama mkuu kwenye kuuziwa mfano kama unataka 10000 utaipata kwa hiyo hiyo au kuna gharama itaongezeka hapo?
ok. Acha nitajaribu kujoin huko kesho nione kama mambo yatakua byeekuna gharama ndogo sana, kama nanunuaga bitcoin mpaka za buku mbili ya kibongo
Ngoja ashangalie mwaka Mpya kwanza.
Huku kirueni network ni ya kulenga kwa manati mzee baba[emoji16][emoji16]
aliyetengeneneza link basi wkuu ashareHuku kirueni network ni ya kulenga kwa manati mzee baba[emoji16][emoji16]
Hebu tuanze mwaka kwa Tennis, waweza kutembea nalo lote hili kokoro au chambua zako chache, na nakushauri chukua zenye odds ndogo kabisa game hata 5 weka mzigo, vunja nyingine 5 weka kitu. Bila shaka mwaka utaanza vizuri.
Kwa sh 60 unaeza vuna malaki mengi mengi[emoji3][emoji3][emoji3]
Thanks me later!View attachment 982551View attachment 982552View attachment 982553View attachment 982554View attachment 982555View attachment 982556View attachment 982557View attachment 982558
Sent using Jamii Forums mobile app