Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu nimeshafungua bitcoin, na Tayar Mzigo upo Kwenye walet, nimeenda 1xbet Kwenye bitcoin, nimeshindwa kuendelea maelekezobplz

Sent using Jamii Forums mobile app
uko localbitcoin ingia kweny wallet utaona option ya send bitcoin watakwambia uingize bitcoin adress hii uwa kwa mtindo wa namba nyingi uwezi kuziclaim utazipata 1xbet baada tu ya kuchagua deposit by bitcoin so zicopy na ukapaste kweny localbitcoin pale kweny bitcoin adress then click send

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeeeeh baba Nguvu Ya Buku tuna iona

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anataka atoboe kwa buku hahahahaaa ila acha atuongezee mtaji maana Muhindi anaweza kukimbia mjini. Na nawaeleza ukweli hata ukiweka milioni, mikeka mirefu ni hatari kwa afya yako.....Try it at your own risk!
 
Mkuu betpawa mimi nafata bonasi na nazifaid sana. Bonus ndy mpango mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
1xbet uzuri wake hawachagui mechi sasa betpawa anachagua mechi za kuweka mfano baadhi ya ligi huwa haweki mechi zake, hakuna kampuni ya kumfikia 1xbet mfano katika basketball option ya kwanza over point atakayoweka betpawa au sportpesa kwa 1xbet utakuta imekuwa option ya mwisho, hizi local betting company ni wapigaji by the way nje ya bonus betpawa hakuna cha maana hawana tofauti na kina sportpesa na wengineo wa kibongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…