Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hadi upate mtu wa kununua!?![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] Game of Chance.

Utapata hela lakini sio kwa muda wa uhitaji wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa tutafanya uwekezaji mzee baba, na wakati tunatumia hii bitcoin vilevile tutakuwa tunatafuta solution nyingine kwa ajili ya kuwithdraw hakika penye wengi halishindikani jambo.
 
BetPawa hawajanitumia verification code ili nipate kujiunga toka jana midnight, je nao wako kwa sikukuu?
 
Shida saiv ni kudeposit kwa mobile money hawana hyo huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…