Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila ye ananirahisishia, kazi ya kuzunga kila siku nacheki na kukagua mechi nani anataka. Ganda la ndizi ni muhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaambiwa kuna watu wanatoa prediction kwa hela hawaelewi. Hiv mtu atoe tips hizo bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ukiangalia kwenye hizo tips kuna GG..mechi imeishia 0-3...huoni nao wanabahatisha.
Wana tofauti gani na huyu aliyetoa tips za bure...tunajaribu kukusaidia huo ni mchezo wa bahati...za kuambiwa changanya na zako



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…