Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jamani ombi langu kwa hawa waheshimiwa waliofanikiwa kuweka nakutoa pesa kwenye 1xbet kwa njia ya bitcoin nawaomba jamani mtusaidie kwaniaba ya wengine mmoja ajitolee kutusaidia wengine ambao tunahitaji aunde kundi la watsap tutajoin atume hata voice clip tutaelewa awake hapa link au namba tujiunge tujifunze huko naona itakua njia nyepesi sijui mnasemaje wenzangu....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hiyo kampuni ni zaidi ya makampuni ya hapo kwetu bongo wana odds za maana yani ligi yenye over 2.5 kwa hapa bongo unaweza kukuta odds zake in 1.70 sasa hiyo kampuni yenyew utakuta odds yake 1.90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa wa 1xbet nilikuwa niachati nao on live nikawaambia kuwa kwa Tanzania tunashindwa kucheza kwenye kampuni yenu kwasababu hatuoni njia ya kudiposit hela munatusaidiaje? Hakaniji kuwa watalifanyia kaza hilo swala hivi kalibuni na tutaiona njia ambayo watakuwa wameiweka kwahiyo usihofu kiongonzi utainjoi hivi kalibuni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio umechat nao leo kwa mara ya kwanza mkuu? Watu tushachat nao miezi kibao majibu yao ndio hayo hayo kila siku
 
Acha tusubiri lakini wakati tunasubiri mkuu aliyefanikiwa kwa njia ya bitcoin atusaidie, pia huenda njia hiyo ikawa nzuri maana Kama uwezekana wa kuweka na kutoa utafahamika nahisi hatutakuwa na haja ya kusubiri mobile payment wazee,nahisi Kama pesa znanipita vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh! Mimi Jana nilishindwa kutumia hiyo njia ya bitcoin labda atoe elimu ya kutosha ili tumuelewae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…