Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shida mimi huko 1xbet huwa nikila kutoa hela huwa mbinde kichizi na wale majamaa huwa wanapiga ngeli tu nilishawahi kuwaelezea tatizo langu lakini hola

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutoa km zipo 1xbet unatolea skrill then unamcheki jamaa mmoja anaitwa mwrct then yy anakuingizia m pesa au Tigo baada ya ww kumuamishia kwenye account yake ya skrill

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa km zipo 1xbet unatolea skrill then unamcheki jamaa mmoja anaitwa mwrct then yy anakuingizia m pesa au Tigo baada ya ww kumuamishia kwenye account yake ya skrill

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kazi sana yaani mpk upeleke kwenye akaunti ya skrill tena kwa hiyo kwa tshs hawatoi au inakuwaje mbona kwenye kudeposit unafanya kwa mpesa/airtel money kwanini pia kwanini ishindikane kuwithdraw kwa njia zile zile zilizotumika kudeposit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoa km zipo 1xbet unatolea skrill then unamcheki jamaa mmoja anaitwa mwrct then yy anakuingizia m pesa au Tigo baada ya ww kumuamishia kwenye account yake ya skrill

Sent using Jamii Forums mobile app
Warusi ******* sana ingawa hakuna limit ya kula wewe hata bilioni ukila wanakupa tofauti na makampuni mengine ya betring ambayo kiwango cha mwisho kwa mkeka mmoja ni 20m + ila kwa tz jinsi ya kuitoa ni jasho sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na tatizo tupia kwenye huu uzi utasaidiwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kula mara kadhaa kutoa ikawa mbinde na nikaanzishaga uzi sikupata msaada wa maana mwishowe nikaanza tena kuzichezea tu huko huko 1xbet mpk jamaa wakazimaliza nikafungaga na akaunti nikahamiaga nyumbani tena princess bet/sportpesa/mbet na pmbet kote huko nina akaunti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kweli wengine unaweza kula zaid utakavyo. Mfano playmaster
Ukipiga hela ndefu wanaita wandishi wa habari wanaanza kukuchora chora mbona unapoliwa hawakuiti mbele ya wandishi wa habari na kukuuliza unawashauri Nini ambao hawachezi huwa wananikera mambo ya kuchorana sipendi kabisa yaani siku nikimzaba tunamalizana kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata hao 1xbet nadhani wako hivyo kwa pesa ndefu. Hii ni biashara, watavutia vipi wateja wengine?

But hata mimi sipendi, na niliwahi kujadili hiyo kero ya kuuzishwa sura, yaani hadi kila mtu ajue kama huwa unabet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…