Mtoe man u hapoKipindi hiki usithubuti kubetia direct win kwa real madrid,napoli,ac milan,inter, man u, chelsea,asernal na nyingine zinazofanana na hizo utalia bila kupigwa
Sent using Jamii Forums mobile app
okOdds zao hua zinabadilika badilika kulingana na game na muda unavyo kwenda ukibet kama siku tatu kabla ya game odds zinakua nzuri na kiwango cha return ukipiga mkeka kwa ligi za kawaida ni USD 163000 kwa game za uefa wanatoa hadi USD 1600000 kwa mkeka ukishinda
Bado yupo hpo hpo kucheza hizo game mbili unaona ameimprove akishinda 6 mfululizo kama wenzake kina liver hpo sawa nitamuondoaMtoe man u hapo
Sku izi ni win direct..ukipenda hata CAP tunatoa
Sio mbili mkuuBado yupo hpo hpo kucheza hizo game mbili unaona ameimprove akishinda 6 mfululizo kama wenzake kina liver hpo sawa nitamuondoa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajitahidi kuwapigania lkn ushauri ni huo hatutaki ulie mwezi mzima maana kazi yetu hii unaielewa vzr kbs kuwa unapoliwa mood inabadalika kbs ni kama umefiwaSio mbili mkuu
Jana ilikua game ya nne mfululizo ushindi
hapo pana ukweli aisee yani siku ya kupigwa na muhindi unapoteza network kama soka255 hahahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajitahidi kuwapigania lkn ushauri ni huo hatutaki ulie mwezi mzima maana kazi yetu hii unaielewa vzr kbs kuwa unapoliwa mood inabadalika kbs ni kama umefiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah poa mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona unajitahidi kuwapigania lkn ushauri ni huo hatutaki ulie mwezi mzima maana kazi yetu hii unaielewa vzr kbs kuwa unapoliwa mood inabadalika kbs ni kama umefiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wewe ni mkongwe pia wa kazi hiihapo pana ukweli aisee yani siku ya kupigwa na muhindi unapoteza network kama soka255 hahahahahahaha
Kipindi hiki cha kati na cha mwisho timu kubwa kubwa huwa zinateseka sana kuwa makini na direct winHahahahah poa mkuu
tena uwe umepigwa kiasi kirefu unachoka kabisa
hapo tunachezaje mzee baba
Sawa mkuuKipindi hiki cha kati na cha mwisho timu kubwa kubwa huwa zinateseka sana kuwa makini na direct win
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa mgeni wa 1XBET wewe. Uliza wakongwe ujibiwe.Warusi ******* sana ingawa hakuna limit ya kula wewe hata bilioni ukila wanakupa tofauti na makampuni mengine ya betring ambayo kiwango cha mwisho kwa mkeka mmoja ni 20m + ila kwa tz jinsi ya kuitoa ni jasho sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwendo wa over tu, pia Hapo wa home lazima ashinde.hapo tunachezaje mzee baba
goli 2+ hapo zipo?
kucheza direct win kunahitaji roho ya chuma ila ukipiga pesa, unampiga vizuri sana muhindi ila ngoja akuotee kama jana ya Benfica na msenge mwenzake ChelseaSawa mkuu
Ila mimi huwa nabet magoli..sinaga imani sana katika kumpa mtu ushindi