Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

And that's the true meaning of betting. Betting haina guarantee, betting ni sawa na yule bwana alivyofanya akapata. Ni sawa na waislamu wao huwa wanabeti kwa kuoa wake hadi 4 sababu hawaruhusiwi kufunua hijab na kuona sura ya mwanamke hadi amuoe kwanza... That's betting. Nimejaribu mbinu zote nimecheza single bet naweka laki tano napata faida laki 2 then kesho naliwa tena. Kwenye betting hakuna anaekula wiki mbili mfululizo ukila leo ujue kesho Mhindi anarudisha hela yake yote na mateka juu. Hakuna calculation wala consistency kwenye betting. Jana PSG kapigwa na dogo aliekuwa na odds 11? Mikeka ya Dunia nzima ikachanika.

Betting ni kamari, sasa ni kuandaa akili akupige wewe pakubwa au wewe umpige pakubwa, au uendelee kupiga mark time day after day. The choice of yours.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha huwezi kupatia kila siku ndugu yangu, ndo maana walio makini wanafanya betting kama biashara zingine..sio lazima kila siku ubet ila unaangalia kwa jicho la pesa kama kuna fursa unatupia mzigo, hv unajua biashara halali faida yake ni asilimia ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofautisha biashara halali na kamari, hii betting ni kamari ndio maana wanaotaka kuigeuza Kama biashara inawashinda na huwezi kukuta kampuni inafanya predicting bali wao wanaanzisha bookmakers company ambako profit ni kubwa sana.

Hilo jicho la pesa walitumia watu Jana kumkimbia Madrid wakamfuata PSG, kilichowakuta wanajua wao na Mungu wao. Biashara halali ina kitu kinaitwa consistency unaweza kupata faida hata ya 100 kwa watu 10000 hata kwa mwezi mzima. Lakini betting haina consistency ndio maana haiqualify kuwa biashara but rather prediction gambling.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu ila amin kuna watu wanaishi kwa kubeti na kubet ndio kazi yao, na hata ktk biashara zingine ingawa wewe unasema betting haiwez kuwa biashara..mnaweza mkapewa same capital na mkafanya same business ila mmoja akafel mwingine akafaulu...ila cha msingi kamali ni ngumu tena ni ngumu kwel...sisi tunahangaika huku kuna wengine wanahangaika na FOREX zote ni kamali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umetisha sana mkuu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro nimecheka kdogo kwenye mfano wako ila umeelewaka sawia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro nimecheka kdogo kwenye mfano wako ila umeelewaka sawia

Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh teh! Enjoy mkuu na pia ujifunze. Kwenye betting tunabahatisha sasa tubahatishe with more risk ili tukipata hata million 20 tukafanye mambo ya maana na aidha tuache kabisa kubet au tubet for fun.

Huwa nawaangaliaga sana waislamu wanaposema hawabet wakati ndoa zao ni betting tosha. Kila mtu anabet hapa Duniani.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna bettor makini na Fundi humu JF kama Deepond? Leo hii haonekani kakimbia maana ni mark time tu, anakula leo analiwa kesho.

Nina miezi 5 sijamuona Deepond humu. Alikuwa anabet biashara but betting nadhani ikamlazimisha abet kama predictors wengine.

Sasa anataka kufungua kampuni aje atupune sisi Jamaa zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure ukibet bet Kwa malengo na pia hakikisha sehemu ya faida inayopatikana unaiminya yaani unajifanya nayo kama imeliwa unaielekeza Kwenye kununua asset au matumizi mengine ili kujicontrol. Kwamfano Mimi bajeti ya chakula day to day now inatoka Kwenye betting ile hela niliyokuwa naitumia Kwenye chakula kutoka Kwenye kipato kingine inaingia moja Kwa moja benki. Kwamfano Jana nimepata laki mbili faida, laki nimeitoa imeenda Kwenye kununua mahitaji ya nyumbani Na laki nyingine nimeitunza kwaajili ya backup.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe noma mkuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Probably mtu pekee ambae kidogo anakula kula ni wewe. Wengine hata hawakumbuki mara ya mwisho walikula lini? Pia naamini strategy yako inakubeba sana.

But still kubet kwa kila siku hakuna faida yeyote. Yaani unajikuta mtu unafanya kazi ya kutoa mfuko wa kushoto na kuweka mfuko wa kulia. Na muda unaenda hausubiri soon unaanza kuwa na miaka 24 kila birthday party ifikapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…