Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Hahaaa ushafuata ngapi zinazoletwa humu? ,usijifiche tu ukilalamika. Aiseeejamaa mmimi sana!!!
dakika ni zile zile mzee labda wakienda overtime uwa ni five minutes or six nadhani
Hahaaa sampuli ya kina soka255 unaleta possible wanakuponda baadaye wakiona green macho yanawatoka. AiseeeTatizo huwa wanaharaka ya kuliwa hawataki kutulia jamaa alifikisha odds 15.5 nikashindwa kumwekea Mana pesa yote nlishampa akiwa na 5.5 ila huyu jamaa tokea amfunge Sydney fc basiii nikamsajili jumla
Hahaaa sampuli ya kina soka255 unaleta possible wanakuponda baadaye wakiona green macho yanawatoka. Aiseee
Hawa Perth glory nusura waniue presha maana dakika ya 77 mtu kaliwa 3 kwa 1 na Khanji wazimu ukampata kapandisha odds za Perth glory mpaka 12 ila mpaka dakika ya 85 ubao ukasoma 3 kwa 3 na dakika ya mwisho glory wakaleta kweli glory....Now nawacheki Atletico nawaambia hihihiiii mkinichezea ni selo tu kama wanabisha wamuulize real na aseno!Safi Mkuu, nashangaa wale wanaokujaga Hapa kulalamika kuwa hatuposti hints sijui hizi hawazioni.
ila hao betis nao wakiwa nyumban ngoja tukaze roho
Kweli kabisa Mkuu, na unatakiwa Kujua wapi,wakati na muda gani niplace bet.Ndo Mana huwa nasema hii kitu ukitulia kabisa huu unakuwa sio mchezo n bonge la kazi inayolipa mno inshu n kutulia+kurisk tuu
Basket na tennes live gem nlikua naanza na buk10 ndani ya mda mda mchache unaiona laki kwenye walet kwa siku laki4,5 unazipiga kule Kama kawaida ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweka baada ya kula ...sio kabla ndo maana unalaumiwa!!Hahaaa ushafuata ngapi zinazoletwa humu? ,usijifiche tu ukilalamika. Aiseee
Mkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???Kila siku lazima mjinga mmoja atokee why? View attachment 993421View attachment 993422
Sent using Jamii Forums mobile app
Clean ni safi na sheet ni shuka sasa nadhani inaweza kuwa inamaanisha mashuka masafi. Ingawaje ngoja tumsubiri jamaa nae afafanue zaidi. Asante.Mkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???
Sent using Jamii Forums mobile app