ALL IN ONE
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 272
- 190
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu wee acha tu.weka 20Tsh unalidi nayo na chenji anakupa bule[emoji23][emoji23]tatizo la kanji siku ukiamua uweka hata 10k lazima apite nayo
Hapo ndipo nilipojiuliza maana Kama hao anaowalalamikia wametoa 1-1 na ameweka clean sheet away. NoMbona sijaelewa mkuu, huyo mjinga ni yupi kwny huu mkeka wako? ... km ni Helmond mbona hiyo umewin ?!!
Cleansheet away = No (Ina maana away aruhusu goli angalau moja, na ndivyo ilivyokuwa coz matokeo ni 1-1)
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu wee acha tu.weka 20Tsh unalidi nayo na chenji anakupa bule
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo nilipojiuliza maana Kama hao anaowalalamikia wametoa 1-1 na ameweka clean sheet away. No
Sent using Jamii Forums mobile app
Option ngumu aseeeYani timu iruhusu goli.
Sasa hapo unakubali au unakataa.
Ukiweka yes, ina mana unakubali kuwa timu haitaruhusu goli.
Ukiweka yes, maana yake unakataa kwamba haitoruhusu goli.
(Kuchafua gazeti[emoji3][emoji3] yes or no)
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Mbona sijaelewa mkuu, huyo mjinga ni yupi kwny huu mkeka wako? ... km ni Helmond mbona hiyo umewin ?!!
Cleansheet away = No (Ina maana away aruhusu goli angalau moja, na ndivyo ilivyokuwa coz matokeo ni 1-1)
Sent using Jamii Forums mobile app
Walichelewa Ku update mkuu afu sikuangalia matokeo mkeka ulitiki huu na ni Mara ya kwanza niliweka hii option ngoja ntaifata sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Rahisi Sana Kama ukiielewa. Nimeilewa maana nilikuwa naionaga tu lakini naichaOption ngumu aseee
Asante kwa kunijuza
Mkuu naona wamejaribu kuelezea comrades Hapo na wako sahihi mfano anacheza Ars vs Chelsea unasema leo lazima arsenal atagongwa goli Unaenda kwenye option ya clean sheet upande wa arsenal unaweka No basiMkuu Naomba unieleweshe hii Clean sheet huwa siielewi ina maana gani???
Sent using Jamii Forums mobile app
Option rahisi sana hii mfano leo tots vs man u unajua kabisa man u wako on fire clean sheet ya tots unaichafua na NO basi washachezea unachukua mpungaOption ngumu aseee
Asante kwa kunijuza
Nimeielewa sana ila tatizo ugumu kwenye kuibetiaRahisi Sana Kama ukiielewa. Nimeilewa maana nilikuwa naionaga tu lakini naicha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mana yake NO kwamba man u hawataruhusu goli kwa tott?Option rahisi sana hii mfano leo tots vs man u unajua kabisa man u wako on fire clean sheet ya tots unaichafua na NO basi washachezea unachukua mpunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mana yake NO kwamba man u hawataruhusu goli kwa tott?
Yes, na inaelekea hawataruhusu maana De Gea ni man of the match so far ..Mana yake NO kwamba man u hawataruhusu goli kwa tott?