Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Akina mama wa Canberra - Adelaide wameweka red kwenye mkeka, wakachukua faida + mtaji kiasi.
Wamegoma kutoa over 1.5.
Bet is a bet
 
Nimeielewa sana ila tatizo ugumu kwenye kuibetia
Chukua mbinu hii mkuu...

Angalia zile ligi zinazo fungana, Mfano Austria, Wales,Crypus Scotland,
Baada ya hapo chunguza Option za Direct win zilizo tolewa kwa baadhi ya mechi ktk ligi hizo.

Mfano,

Celtic 1.54. & 5.24. Dundee

Sasa hapo unajua kabisa Celtic kapewa Odd ndogo tofauti na huyo mpinzani wake. Na ina dhihirisha kuwa hawa Dundee lazima nyavu zao zitikisike.

Sasa hapo wewe utapata No Clean sheet.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…