msolopaganzi1954
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 763
- 381
Nitaijaribu siku nione napataje patajeChukua mbinu hii mkuu...
Angalia zile ligi zinazo fungana, Mfano Austria, Wales,Crypus Scotland,
Baada ya hapo chunguza Option za Direct win zilizo tolewa kwa baadhi ya mechi ktk ligi hizo.
Mfano,
Celtic 1.54. & 5.24. Dundee
Sasa hapo unajua kabisa Celtic kapewa Odd ndogo tofauti na huyo mpinzani wake. Na ina dhihirisha kuwa hawa Dundee lazima nyavu zao zitikisike.
Sasa hapo wewe utapata No Clean sheet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio utajaribu tuu, pesa zipo nje nje huko ukitulia tuu.Nitaijaribu siku nione napataje pataje
Nitajaribu kwanza mana kila mtu ana upepo na option yake
Hivi betpawa Wana Appjamani wanajukwaa punguzeni kula huko pet pawa hadi wanamatatizo tayali
Void Ab Initio
View attachment 993522
1xbet wapo Njian kuja soon, na baadhi ya process kwa Tanzanian wameshamaliza I mean lesen na mengineyo vimebaki Vitu vichache tu, ndio kwa waliona mechi ya simba na waarabu, Uwanja wa Taifa wameweka mabango yao, pemben mwa uwanja
Sent using Jamii Forums mobile app