Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mabango cy tatizo wale ni wadhamini wa klabu bingwa afrika so mechi zote yalikuwepo. But kama n hivyo vitu vichache ngoja tusubiri ila mabango yasikutishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani kakupenyezea hizi taarifa za leseni mkuu?
Ila suala la mabango hilo ni la kawaida kwa club bingwa afrika. Ingekua ni ligi yetu hii ya kibongo hapo sawa
 
nani kakupenyezea hizi taarifa za leseni mkuu?
Ila suala la mabango hilo ni la kawaida kwa club bingwa afrika. Ingekua ni ligi yetu hii ya kibongo hapo sawa

Wale ni wadhamini wa CAF CL, lazima matangazo ya mdhamini yawekwe angalia michezo yote ya CAF CL nchi zote matangazo yaliyowekwa uwanja wa taifa kote ndo hayo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…