Mkuu larnaca ni kirusi uwe unampita tu**** **** u **** again AEK LARNACA
View attachment 993770View attachment 993769View attachment 993768
Me nadhani jamaa yuko sahihi kulalama. Lengo la humu ni kusaidiana kila mtu apate. Unaweza tu kuweka hata mtu asilike. Lakini badae unakuja kushangaa mtu anakwambia broo asante nilidesa. Sasa ukipost wakati ushakula inasidia nini.hata ukiwekewa huo mkeka kabla hawajala ,utaweza weka stake ya 30,000 dk ya 35 over 0.5 first half kwel au roho mbaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanayo
uko sahihi mkuu,ila hata izo win wanazopost zina elimu kubwa sana ni vile watu wavivu tu wakufanya kama wanavyoonaMe nadhani jamaa yuko sahihi kulalama. Lengo la humu ni kusaidiana kila mtu apate. Unaweza tu kuweka hata mtu asilike. Lakini badae unakuja kushangaa mtu anakwambia broo asante nilidesa. Sasa ukipost wakati ushakula inasidia nini.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
Mengine masharti ya mganga wazee. Mtu ashalishwa yamini ukishare desa linachanika usiposhare unakula, unazani atafanyeje?Me nadhani jamaa yuko sahihi kulalama. Lengo la humu ni kusaidiana kila mtu apate. Unaweza tu kuweka hata mtu asilike. Lakini badae unakuja kushangaa mtu anakwambia broo asante nilidesa. Sasa ukipost wakati ushakula inasidia nini.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
[emoji15]Mengine masharti ya mganga wazee. Mtu ashalishwa yamini ukishare desa linachanika usiposhare unakula, unazani atafanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni masharti ni herii baasi ukaushe tu. Maana inakuwa kama ukuda flani hivi tu.Mengine masharti ya mganga wazee. Mtu ashalishwa yamini ukishare desa linachanika usiposhare unakula, unazani atafanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilisita kumbamiza over 1.5 baada ya juzi alikuwa away akasare na jana alikuwa anacheza na wa mwisho
Asante kaka tuwachane tu hakuna namna ...Me nadhani jamaa yuko sahihi kulalama. Lengo la humu ni kusaidiana kila mtu apate. Unaweza tu kuweka hata mtu asilike. Lakini badae unakuja kushangaa mtu anakwambia broo asante nilidesa. Sasa ukipost wakati ushakula inasidia nini.
Sent from my Nokia 6 using Jamii Forums mobile app
stake sio tatizo anaweka mtu anachomudu kuwekahata ukiwekewa huo mkeka kabla hawajala ,utaweza weka stake ya 30,000 dk ya 35 over 0.5 first half kwel au roho mbaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23]Mengine masharti ya mganga wazee. Mtu ashalishwa yamini ukishare desa linachanika usiposhare unakula, unazani atafanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeoooooo YA 1:0,2:0,3:0,4:0 0:1,0:2,0:3 timu moja ifungwe yenyewe isipate goli