Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

stake sio tatizo anaweka mtu anachomudu kuweka

Sent using Jamii Forums mobile app


We ulioshea humu ukwap Jana nasiku zingine watu wanashare we ulichukua kipi, au n kulalamika tui Kama tabia ya vijana wa kitanzania mtu akishare iwe win tayar au bado we Kaz yako n kuzungusha akilizako ujue zinakusaidiaje, inaonekana unawachangia Sana wanaompiga muhindi jifunze kubet Mara Moja kwa siku au pale unapoona pesa ipo sio ukiwa na bukutano tuu instead of kupata chakula we unakimbilia kudeposit ili ubet upate kingi utaliwa mzee
 
Kuna jamaa aliniuizia, sema nilipata shida jinsi ya kujisajir ilinibidi ni weke fake vpn na location isome kenya ndipo nilipo kuja kufanikiwa nimeanza kuitumia jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha unaa basi.....unatuwekea ili iweje si bora uache tu!!
Jukwaa ni huru na jukwaa hili si la kwako. Kwanza inaonekana wewe si mbetiji Bali una kazi ya kupiga domo humu. Mimi ningetarijia uniprove wrong Kwa kuleta possible humu ndani na sio kuleta maneno ya kwenye khanga. And all in all kama unaona nakukera kajiunge na magroup ya wauza odd huko ndio kuna uhakika wa possible. Ila humu nitapost ninachokitaka na muda ninaotaka as long as hujaniajiri hupunguzi wala huongezi chochote kwangu, wewe endelea kupiga kelele badala ya kuzama kwenye analysis ili na wewe uwe mvuvi endelea kusubiri wenzako wavue wakuletee. Pathetic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…