Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kiongozi achana na watu wa aina hiyo, mungu akujalie uendelee na moyo wa kujitolea, binafsi natambua jitihada zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo mpuuzi au hao wapuuzi wachache hawawezi kunitikisa Kwa chochote jitihada zipo palepale ila kwasababu ameamua kuwa kasuku na Mimi namjibu kiukasuku halafu tunaendelea. Kama ingekuwa nikukata tamaa ningeshakata tamaa zamani kuna ambao wameshanifuata inbox wameona bado Niko steel. Aiseee. Harakati ziko palepale green zitaendelea kutaradadi humu na kama kuna possible zitaendelea kuja kama kawaida yangu. Hakuna mpuuzi wa kubadilisha utaratibu wangu.
 
Mkuu void mimi nimipngoni mwa wanaotamani kupata darasa huru, kwani kuna usemi unaosema mfundishe kuvua samaki usimpe samaki ili nae aweze kujitegemea sasa mkuu natamani kwakutumia uzoefu wako na ukongwe utupe hints ambazo zitatusaidia walau na sisi tumfilisi kanji kama sio kumpapasa like massao bwire

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja Mkuu.
 
Kaka huwezi kumfurahisha kila Mtu,binadamu ndivyo walivyo..mwisho wa siku kila mtu na maisha yake,kwanini mtu akupangie namna ya kuishi..yaani ukose amani kwa ajili ya mtu? Fanya yako mkuu..
 
Kaka huwezi kumfurahisha kila Mtu,binadamu ndivyo walivyo..mwisho wa siku kila mtu na maisha yake,kwanini mtu akupangie namna ya kuishi..yaani ukose amani kwa ajili ya mtu? Fanya yako mkuu..
Pamoja Mkuu, nilikua tu namjibu huyo mpuuzi manaake hata mpumbavu akiachwa bila kujibiwa hujiona mjanja. Ila hakuna mtu wa kunikosesha Amani.
 
😱😱😱😱😱😱😱😱

kukosa huku mambo ya Virtual football tuwe tunajaribu pia

😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…