The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,447
Na wewe unateseka Mkuu???acha ubwege ww sasa unatupostia mikeka ambayo umewin ili itusaidie nn?kwann usipost kabla ili tufaidi wote?uache umama nyau weee
Ni kumi na tatu Mkuu, tunaoteseka tunacomment wapi?
acha ubinafsiNa wewe unateseka Mkuu???
Bila ubinafsi watu wote duniani tungekuwa matajiri. Ubinafsi ndio kila kitu. Kwani wewe unatakaje?acha ubinafsi
Tehtehteh wakasome tuition watupishe humu.Msiteseke kuongea na watu wasiojielewa wakubwa simnajua watu wanasubiri matokeo ya form four!!!!
ππππ
Tehtehteh wakasome tuition watupishe humu.
Kwa waliopo Tanzania salio unawekaje kwenye hiyo LineMimi ninatumia lain ya safaricom kenya naweka mzigo na kutoa fresh yani hapa ni kula na kuliwa kwa kwenda mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni green Mkuu, utatupofua wenzako tuna allergy na green.wacha tusukume ndani mapesa hakuna kusikiliza mtu
π±π±π±π±π±
Void Ab Initio Nisomee hapo
View attachment 994504
Nyie mkometi inbox, tehtehtehTunaoteseka tunacomment wapi? Sisi Wanaume wenye nyivu kwann void anashinda
Sent using Jamii Forums mobile app
muache umamaBila ubinafsi watu wote duniani tungekuwa matajiri. Ubinafsi ndio kila kitu. Kwani wewe unatakaje?
Mtu aki post kawin tunapeana hamasa kwamba watu wanakula sasa utapata wapi uchungu wa kuset mkeka kama huoni matunda kwa wengineNi kumi na tatu Mkuu, tunaoteseka tunacomment wapi?
Tuko pamoja mkuu nakukubali sana instincts zako dakk ya 30+ unaweka stake za maana. Soon tutakudecorate kwenye betting hall of fameNyie mkometi inbox, tehtehteh
ALL IN ONE hebu soma hiyooo...View attachment 994510