Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huwa nawaamini sana nawapaga zote zilizopo na siku zote odds zao nakuta ni 2.2

Sent using Jamii Forums mobile app

Sure, ukiona kwenye lineup yao yupo Stephen Curry & Klay Thompson ... anza kuhesabu hela kabla hujatupia. Yani pesa nje nje ... hao jamaa wawili (Curry & Thompson) ni shida.
Wakati msimu unaanza Stephen Curry alikuwa majeruhi ndo maana walianza vibaya. Lakini saiv amerudi kwenye form yake ni balaa.

Ila wasipokuwepo hao, chunga sana.
 
Na Kelvin Durant
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante nitaaanza wapa zote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…