ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
namba ya kapuni 351144,kumbumbumbu namba ni namba uliosjilia make sure unanza na code 255Mzee baba hebu nisaidie pari match wanadeposit vip maana me sijawaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu. Hata goli moja limeshindikana. Moja tuLigi ya Australia kuna nini leo, au wameanza kubet na wao?!!
Tulishapita hukoJaribu meridian mkuu malipo ni fasta sana ila kuna makato kama tu sport pesa hawazingui kudiposit wala kutoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kiongozi...inasemekana dola ilipopanda ikawa imeharibuMkongwe me nilijua umepumzika mpaka jamaa watakaporudi! Ila bongo watu wana fitna aisee! Hawa jamaa sidhani kama watarudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Woooon! Wale wanaotaka wapewe tip kabla hatukjaleta 'green' muwe pia mnazifanyia kazi tip kama hizi zinazoletwa humu na wadau mbali mbali...watu wanaamua kuleta green kwakuwa hata ukileta tip hakuna anayefuata ila baada ya kuleta green malalamiko yanakuwa kama yoooote!...
Hakuna mfuata tip Hapa Mkuu, wengi walalamikaji tu. Wanataka wakiingia humu wakutane na lost. Ili nao waone kumbe hawaliwi peke yao. Wakikutana na green wanapata kiwewe.Woooon! Wale wanaotaka wapewe tip kabla hatukjaleta 'green' muwe pia mnazifanyia kazi tip kama hizi zinazoletwa humu na wadau mbali mbali...watu wanaamua kuleta green kwakuwa hata ukileta tip hakuna anayefuata ila baada ya kuleta green malalamiko yanakuwa kama yoooote!...
Nimeamua kujikita kwenye basket zaidi kwakuwa naamini ni mchezo mwepesi kwangu kwani katika bets angalau 5 ninazocheza kwa siku siwezi kukosa 4 au 3, sio haba.
Lakini pia naona wadau wengi humu wamejikita kwenye football zaidi kwahiyo kwakuwa ni jukwaa huru la betting kwa mchezo wowote, sio mbaya kama na wale walio na interest na basket kama mimi wakaweza pia kunufaika.
Mapambano na yaendeleee...!View attachment 998950
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuliwa kunauma mkuu acha kabisaHakuna mfuata tip Hapa Mkuu, wengi walalamikaji tu. Wanataka wakiingia humu wakutane na lost. Ili nao waone kumbe hawaliwi peke yao. Wakikutana na green wanapata kiwewe.
Aiseee, acha tu.
Niliwahi kusema hapa kwamba sio kweli watu hatupotezi kila tukibet,,ila tunajitahidi kuweka tulizoshinda ili kupeana nguvu na hamasa zaidi. Nisikufiche nilishawahi kuliwa 50k siku moja kwa mikeka tofauti tpfauti niliyoweka siku hiyo! Nilihisi kizungu zungu kwakuwa sikuwahi kupoteza kiasi kikubwa hivyo hapo kabla. Sikuwahi kuweka humu kwani najua haitasaidia zaidi ya kuwavunja moyo na wale wengine wanaopigwa hela ndefu ndefu...Hakuna mfuata tip Hapa Mkuu, wengi walalamikaji tu. Wanataka wakiingia humu wakutane na lost. Ili nao waone kumbe hawaliwi peke yao. Wakikutana na green wanapata kiwewe.
Mkuu hebu nieleweshe kidogo kuhusu maltple choice kwenye jackpot ya betpawajackport kubahatisha
Wolverhampton Wanderers - Leicester City 1 or 12
Crotone - Cittadella 2 or x2
Stuttgart - Mainz 05 1 or 12
Bournemouth - West Ham United 2 or 12
Newcastle United - Cardiff City 1 0r 1x
Nottingham Forest - Bristol City 2
Southampton - Everton 1 0r 1x
Perugia - Brescia x
Arsenal - Chelsea 1 or 12
RB Leipzig - Borussia Dortmund 2 or 12
Swansea City - Sheffield United 2
AS Monaco - Strasbourg x or x2
Angers SCO - Nantes x or 1x
Eupen - Lokeren 2 or 12
Nimes Olympique - Toulouse FC 1 or 12
Reims - Nice x or 1x
Celta Vigo - Valencia 2 or x2
Katamu sana ila hii timu ya mwisho nilibeti kizembe sana nilijilaumu lengo ilikuwa niwewe No hiyo Yes sijui imetoka wapi yaani.Ligi ya Australia kuna nini leo, au wameanza kubet na wao?!!