Siwajui na sijawahi kuwatumia mkuu. Ngoja waje malegendary wengine watakusaidia.
Poa mzee baba.... NISAIDIE KAKASiwajui na sijawahi kuwatumia mkuu. Ngoja waje malegendary wengine watakusaidia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo options mkuu..Sio kila mtu anapendelea Magoli tu..wengine wanabet kwenye offside,substitute to score n.k.Mkuu huko 1xBet mnafuata nini?mana complicate mambo tuu tumieni bet platforms zinazokupa urahisi wa kutoa mpunga wako, kwangu ni bora kutumia meridian, premierbet au betpawa mambo ya kutoa na kuweka kwa bitcoin au kadi za benki ni uduanzi
Parimatch ina option kibaoo... sema mshazoee kupotezaa pesa...Tatizo options mkuu..Sio kila mtu anapendelea Magoli tu..wengine wanabet kwenye offside,substitute to score n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia wana bonus ukiweka laki kwa odds 1.8 wanakupa laki tena kama bonus? Vipi ni kweli hii?
Duuh hiyo ya laki sijajuaaNasikia wana bonus ukiweka laki kwa odds 1.8 wanakupa laki tena kama bonus? Vipi ni kweli hii?
Nimewaona kwa mara ya kwanza wameniimpress sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Ipo! Nasikia na kuna watu wametumiwa SMS kwamba hii offa Ipo.
Hiyo Ipo! Nasikia na kuna watu wametumiwa SMS kwamba hii offa Ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo options mkuu..Sio kila mtu anapendelea Magoli tu..wengine wanabet kwenye offside,substitute to score n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekuwa adimu sana.Salamu boss.....aiseee naonaa nimepitwaa saanaa hata sielewi pa kuanziaa
Sent using Jamii Forums mobile app