Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

 
😱😱😱😱
 
Sasa wahenga kuna story 1 hapa Amaizing kidogo ila Inasikitisha saaaana[emoji134]‍♀

Kuna mhenga mwenzetu huku nilipo, Ni mwalimu, sasa Juzi jumanne Tulikaa kikao cha Walimu kupitisha manunuzi ya vifaa vya shule, na Jumatano (Jana) Akaandikiwa HUNDI kupeleka Wilayani+Benki kwenda kuchukua pesa kutoka kwenye (School Captation) Akawa Ame draw Tsh.550,000/=
Moja ya hizo pesa kulikuwa na Tsh.200,000/= Ya kumlipa Mwl Mkuu pesa ya (madaraka) na 350,000/= iliyobaki ya kununua Vifaa mbalimbali vya shule..


Sasa huyu proffessional Teacher Alichokifanya ni hiki; Akamzimia
Simu Mkuu wake then Akapitiliza mjini kwa lengo zuri tu la kwenda kuizarisha hiyo pesa ya shule, na


Akabetia 500,000/= nzima nzima[emoji134]‍♀

Akampa

LIVERPOOL win

CHELSEA win

JUVENTUS win

ROMA X2

kilichofuata ni 🀺🀺🀺 BAMPA 2 BAMPAAAAAAAAAAAAA Hajaonekana JOB hadi sasa na HAPATIKANI kwenye simu[emoji134]‍♀

[emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siwezi hata siku moja siwezi cheza huu mchezo kwa pesa yangu ya mshahara au biashara au mtu au ya watu ila nikiipata kwa gambling that is easy sasa huyo teacher asubiri fedhea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…