Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
I must change the plan, the best way to win the Battle is to attacks but laxima nibadili Gia kwastaili nitakuwa mchangiaji wa muhindi nimekoma 200k imeenda bila return hiki nikipigo kikubwa Sana kwangu.
Hapa mnasemaje tuanze nahyo au?View attachment 1009504
Stake nyumbaView attachment 1009430
Shukrani mkuu,ngoja nifuate huu mkeka1=both teams score but home team wins na ile 16 away team scores over 2.5 home team no score
Ukibetia hela ambayo sio yako HULI ASILANISasa wahenga kuna story 1 hapa Amaizing kidogo ila Inasikitisha saaaana[emoji134]ββ
Kuna mhenga mwenzetu huku nilipo, Ni mwalimu, sasa Juzi jumanne Tulikaa kikao cha Walimu kupitisha manunuzi ya vifaa vya shule, na Jumatano (Jana) Akaandikiwa HUNDI kupeleka Wilayani+Benki kwenda kuchukua pesa kutoka kwenye (School Captation) Akawa Ame draw Tsh.550,000/=
Moja ya hizo pesa kulikuwa na Tsh.200,000/= Ya kumlipa Mwl Mkuu pesa ya (madaraka) na 350,000/= iliyobaki ya kununua Vifaa mbalimbali vya shule..
Sasa huyu proffessional Teacher Alichokifanya ni hiki; Akamzimia
Simu Mkuu wake then Akapitiliza mjini kwa lengo zuri tu la kwenda kuizarisha hiyo pesa ya shule, na
Akabetia 500,000/= nzima nzima[emoji134]ββ
Akampa
LIVERPOOL win
CHELSEA win
JUVENTUS win
ROMA X2
kilichofuata ni π€Ίπ€Ίπ€Ί BAMPA 2 BAMPAAAAAAAAAAAAA Hajaonekana JOB hadi sasa na HAPATIKANI kwenye simu[emoji134]ββ
[emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nacheka Kwa Sauti " Kama Naiona Simba "Tusisumbuane jumamosiView attachment 1009431
Kama hajaonekana shule hadi leo na hapatikani...je, ulijuaje hiyo hela kaibetia?Sasa wahenga kuna story 1 hapa Amaizing kidogo ila Inasikitisha saaaana[emoji134]ββ
Kuna mhenga mwenzetu huku nilipo, Ni mwalimu, sasa Juzi jumanne Tulikaa kikao cha Walimu kupitisha manunuzi ya vifaa vya shule, na Jumatano (Jana) Akaandikiwa HUNDI kupeleka Wilayani+Benki kwenda kuchukua pesa kutoka kwenye (School Captation) Akawa Ame draw Tsh.550,000/=
Moja ya hizo pesa kulikuwa na Tsh.200,000/= Ya kumlipa Mwl Mkuu pesa ya (madaraka) na 350,000/= iliyobaki ya kununua Vifaa mbalimbali vya shule..
Sasa huyu proffessional Teacher Alichokifanya ni hiki; Akamzimia
Simu Mkuu wake then Akapitiliza mjini kwa lengo zuri tu la kwenda kuizarisha hiyo pesa ya shule, na
Akabetia 500,000/= nzima nzima[emoji134]ββ
Akampa
LIVERPOOL win
CHELSEA win
JUVENTUS win
ROMA X2
kilichofuata ni π€Ίπ€Ίπ€Ί BAMPA 2 BAMPAAAAAAAAAAAAA Hajaonekana JOB hadi sasa na HAPATIKANI kwenye simu[emoji134]ββ
[emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535][emoji535]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma tukione wote.Njoo PM nikupe kitabu bure ili ubeti kama ajira, ninachohitaji ni unigongee LIKE hapa kisha ni PM, kidogo kina kurasa kama 30 tu, ila kwa lugha ya malkia...chepesi lakini! (sijakiweka hapa naogopa sheria ya haki miliki)
Umepotea we mbwa rudi bandaniNaam,kabla ya yote,salam ziwafikie popote mlipo.Bila kupoteza muda baada ya kukaa na kutafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya maisha ya sasa na upatikanaje wa kipato,nimeona ni vema nijaribu bahati yangu huku kwenye mambo ya
kubet.Nimepokea vijisenti kiasi vya mwezi huu kutokana na kijikazi ninachokifanya.Na nimetenga 50K kwa ajili ya Risky Investment.
Kwa kuanza tu,nime-Install M-bet App,na tayari nimetandika jamvi la STAKE ya 10K.Panapo majaliwa baadaye nitakuwa milionea.
Wazee wa kubet nipeni maujuzi juu ya masoko mengine ya kuweka dau kama Overs na Unders!
Mkuu Million dollars umesema kweli yote, kuna watu wanashindwa kubadilisha strategy wanabaki kupata maumivu kila siku.Achana Na Direct win Mkuu Utakufa Masikini Cheza over 0.5 mwisho over 1.5 tena kwa Mechi kubwa tu mfano Liver vs kilaza, man u vs Kilaza, Barca vs kilaza hapo ndo unaweza kuweka over 1.5 hata odd tu zitakwambia zenyewe weka 1.5 Pia kuna Ligi kana Scotland, German Bundesliga 1,2,3 wote over 0.5 zinatoa saana ukichaniwa ni bahati mbaya huwezi chana siku zote! Option ni hizo mbili over 0.5 na Over 1.5 Zingine zote Chenga mzee
Sent from my iPhone using JamiiForums