Acha kutupa hela. Simba hawezi kushinda wala kutoka draw.Haya wazee wa kufumba macho twenzetu hapo ni double chance simba ishinde au idroo ODDS 5.3500... Tuweke mzigo harafu tusubir matokeo.... View attachment 1011397
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mkuu kwel hii fumba machoHaya wazee wa kufumba macho twenzetu hapo ni double chance simba ishinde au idroo ODDS 5.3500... Tuweke mzigo harafu tusubir matokeo.... View attachment 1011397
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi zote hizo odds 5.7HIGH STAKE GAME
bayern-2x (germany)
Yeni-1x (turkey)
Porto u19-1 (portugal)
Chelsea-1 (eng)
Zagreb-1 (croatia)
Juventus-1 (italy)
Young boys-1 (switz)
Olympiacos-1 (greece)
Apoel Nicosia-1 (cyprus)
Total odds
5.78
Umejitoa muhanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi zote hizo odds 5.7
Halafu mechi moja tu ya simba ashinde au adroo kapewa 5.3
Kubeti kutatuua ila mimi naenda msimbazi nipigwe tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutupa hela. Simba hawezi kushinda wala kutoka draw.
Tatizo tunabet kishabiki.
Hahahaaa MPE ashindeee KABISAAA 19[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mechi zote hizo odds 5.7
Halafu mechi moja tu ya simba ashinde au adroo kapewa 5.3
Kubeti kutatuua ila mimi naenda msimbazi nipigwe tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa MPE ashindeee KABISAAA 19
Mimi simba damu ila ukweli mchungu ni kwamba tunafungwa leoHaya wazee wa kufumba macho twenzetu hapo ni double chance simba ishinde au idroo ODDS 5.3500... Tuweke mzigo harafu tusubir matokeo.... View attachment 1011397
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi simba damu ila ukweli mchungu ni kwamba tunafungwa leo
Nitakuwa na sofascore tu naangalia goli zinavyoingia[emoji16][emoji16][emoji16]Kwahiyo mkuu leo utakaa home u nasubir kuliuliza NGAPI HUKO! sio
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hakuna 5 leo kua na amani[emoji38][emoji38][emoji38]Nitakuwa na sofascore tu naangalia goli zinavyoingia
Hahaha natamani tufungwe hata goli mbili tu kupunguza aibu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hakuna 5 leo kua na amani[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fixed games zipo nyingi ila ni za ulaya, Germany, Turkey na Eastern Europe ndio wanafanya sana hii but wenye mitaji mikubwa ndio wanajihusisha zaidi. Game moja wanastake hadi dola 100,000/= afu hawa jamaa wakikupa game ya fixed unawalipa baada ya kula mkwanja.ivi wadau izi correct scores wanazoita fixed matches za kulipia hwa ni za kweli au ndyo matapeli hawa
Hahaha natamani tufungwe hata goli mbili tu kupunguza aibu