Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Acha tunyoshwe maana tunapiga kelele kuwa tuna timu ya kucheza popote.Hiki n kiburi chasimba tuu kule CAF Kuna fomu huwazipo ukiona game huiwezi au wachezaji wako Jana yake walishinda club unaenda kwenye website ya CAF unalogin unaijaza alafu unasubmit Basi unakuwa umepewa point 0 jamaa wanachukua point 3 na goli 3 sa sijui Simba kwann walishindwa kufanya hvyo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] bora wewe umesema ukweli.
Weka ikitoa nakuongezea 100K M-pesa kipindi cha pili kitakuwa kigumu mno simba hana cha kupoteza wala cha kupata.Ushabiki pembeni
Tunaongea ukweli
Weka over 9.5 weka kiwanja,nyumba na mke kama unae
[emoji3] [emoji3] [emoji3] namaliza tu kusend na goli linaingiaLeta maono yako kw Juve...@void ab initio
Anaongoza mbili
Siku imeenda vizuriii
Yupo.. Ndo katupia mida hii.. 1-1Hv samata yupo kweli