Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama kawaaaaaaaaaaaaaaaaa Leo nimepiga milioni Mona yangu paaaaap cha presha
Vijana kila siku nawaambia mambo yanawezekana hawataki cjui kwa nn jamani hii kitu ukituliza kichwa inalipaaaaaaaa sanaa tuu
Mkeke wenyewe huu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalieni Aves Vs Braga.. naona kama vile pesa hii.. ila odds bado hazijachangamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…