Ahaha mkuu upo vizuriHatimaye niliahidi Man u akifungwa na Chelsea Leo naaga JF kuanzia Leo.lakn kutokana Man u kashinda Kama nilivyo ahidi acha niendelee kuandika 4 JF na kujisifu kwa nilichokiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Void atabaki kileleni daima, kuna MTU anabisha???void=empty=pdidy
void=emptyVoid atabaki kileleni daima, kuna MTU anabisha???
We jamaa lazma ni shoga naona muda mreefu unashoboka sana na wanaume wanatafuta pesa mamaeee zakovoid=empty=pdidy
#void=empty
Big upNa hatimaye zimetoa manina, yaani nimeshuka na chelsea jumla jumla (in Agrey Mwanri voice)
View attachment 1026018
Mm mwenyewe Nina wasiwasi kuna fuse haziko sawa Kwa huyo jamaa.We jamaa lazma ni shoga naona muda mreefu unashoboka sana na wanaume wanatafuta pesa mamaeee zako
Hahaaa bora Mkuu umemshtukia nilitaka nishangae huo ujasiri wa kuweka 4500 ameutoa wapi??? Kumbe anacopy walioshinda wateja. Hahaaaa. Aisee eee!!!Unakuja kupost mikeka ya juzi walioshinda wenzio kwenye group lako la wasapu [emoji38][emoji38][emoji38]
We jamaa kolo kweli
void=empty
void=empty
Mzee endelea tu kusajili line za sim mitaani na kuwaibia wateja atleast upendezeshe getto ilo maana ume kaa kichawi chawi kweli ukiingia tu jukwani unaleta nuksi!!void=empty=pdidy
Mkuu naomba ujanja kidogoUsione tupo kimya........
Tunafukuza mwizi kimya kimyaView attachment 1026022
Mkuu kama kesho jioni kutakua na live nzuri usicheze mbali tutapeana tu kitakachotokea
mzee wa Under...Usione tupo kimya........
Tunafukuza mwizi kimya kimyaView attachment 1026022
Leo sina hamu......
Dortmund kaharibu siku yangu View attachment 1026026
mzee wa Under...
nilijaribu juzi hio pressure nliopata sitaki tena
Sent using Jamii Forums mobile app