Wengine ndio tumejua hii fursa muda mfupi uliopita.Dah mm bado sjajua kama watu wapo serious na betting au vipi.yaan kweli mtu tmu ina odd 1.2,1.3,1.4 au hata 1.9 kweli mtu anaweka buku apate 1900 mbona hayo n masihara?au kuna wengine wanabett kujifurahisha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee jamaa unakera kinoma!!! Sio mpango jombaa!!! Grow up.
Sio wewe tu hata huku amerikoroga yeye tu kati ya game 6Leo sina hamu......
Dortmund kaharibu siku yangu View attachment 1026026
Poa poa mkuu!Mkuu kama kesho jioni kutakua na live nzuri usicheze mbali tutapeana tu kitakachotokea
Mpuuzi sana Dortmund.. Nilimpa direct win akiwa na odds 2.3,nikaweka mzigo wa maana.. mwisho nikalia kilio cha mbwa.Dortmund anakula life ban yani Manchester ashinde na odd zile alizokuwa nazo yeye ndo aniharibie dah niliumia sana asee ila fresh
Sent using Jamii Forums mobile app
unatakiwa ufungue account mpya mkuu, unatakiwa ufake location kwa kutumia vpnHabari za leo ndugu zangu,nina imani mu wazima,naomba kuuliza kidogo kuhusu laini ya safaricom je naitumia kwenye account ya 1xbet ya zamani au ni lazima kufungua account mpya? naomba majibu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe mwanga kidogo mdau.. pale xbet mbona wametoa njia za malipo za kibongo.. tunatumia njia gani saiviMkuu kama kesho jioni kutakua na live nzuri usicheze mbali tutapeana tu kitakachotokea
Aloo hii vpn ndoinakuaje mkuuunatakiwa ufungue account mpya mkuu, unatakiwa ufake location kwa kutumia vpn
unayo line ya safaricom tayari?
-nipe mwanga kidogo mdau.. pale xbet mbona wametoa njia za malipo za kibongo.. tunatumia njia gani saivi
void=empty=moyess=pididyWe jamaa lazma ni shoga naona muda mreefu unashoboka sana na wanaume wanatafuta pesa mamaeee zako