True asee, tunafilisika kwa hii njia aiseTe
Tena msirudie kabisa kutumia bitcoin kudeposite, ni matumizi na upotevu wa pesa, nilideposite 20000 nikaambulia 16000 na kwenye tigopesa nilikatwa 1650, so you can imagine ni upotevu kiasi gani
Hii mbinu ukiitumia Kwa mechi za Australia inaweza ikalipa sana unakuta mwenye odd 6 anashinda halafu mwenye odd 2 anashindwa.
Na vipi kuhusu upatikanaji wa pasi ya dharura ya usafiri east Africa region.upatikanaji wake ukojejaribu kwenda kwenye ofisi ya serikali za mtaa watakupa muongozo kama ulikosa kwa kipindi kile
Hahaaa hatari tatizo wanavyozibalance sasa.Mkuu hii inakua safe odd zikifanana
We unaombea isiwepo draw tu
Nikiweli ngoma ikienda kati nihatari kwa afyaHizi odds zilipofikia ukicheza karata vizuri unacheka kihindi
Tengeneza single mbili
Moja mpe win Juve
Kisha mpe na Atletico win
Stake 100,000 kila single
Akishinda yeyote unapata 290,000
Ukitoa stake zako unabaki na 90,000 iliosimama
NB
Ole wako watoe draw utalia kilio cha kichinaView attachment 1027393
Hii kampuni gani mkuu?Hizi timu za Tanzania ni ngumu sana kuvusha OVER 2.5 (achana na Yanga, Simba na Azam kwa mbali) Popote utakapoona option ya under 2.5 shuka nayo jumla jumla.
View attachment 1027210l
Hizo unapata bila wasi...pata kufika ofisi za uhamiajiNa vipi kuhusu upatikanaji wa pasi ya dharura ya usafiri east Africa region.upatikanaji wake ukoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli hapo kila mtu na hesabu zake ila kwa sisi wengine kama mimi mf napanga kabisa nideposit let say 100k halafu inaingia 80k hapo tu inaanza kunidiscourage kabisaIla kuna mwingine akiweka hela kupitia bitcoin hlf akawa anabet huko 1xbet na wakat wa kutoa hata kama kuna makato lakin anabaki na faida kubwa.....inategemea tu mana mwingn anaona urahis wa kupata hela upo 1xbet kuliko atumie hiz zingn na akose hivy bora atumie tu hiyo bitcoins
Kama wiki imepita ila hata leo nimeitoaMkuu uliitoa lini hii mbinu nipate kuipitia na me nijichimbie madini mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo mdogoDoh sawa mkuu ngoja niitafute nilipotea kidogo, naona somo la ankai mkuu umelifuzu vyema hongera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli chief inabd ufanye ambalo hukwazikiNi kweli hapo kila mtu na hesabu zake ila kwa sisi wengine kama mimi mf napanga kabisa nideposit let say 100k halafu inaingia 80k hapo tu inaanza kunidiscourage kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Melbet
nakumbuka mm nilifuatiliaga kipinfi flan nilipata ndani ya siku moja tu nilienda uhamiaji nikajaza fomu nikapewa risiti za kulipa nikaenda bank kulipa nikarudi uhamiaj nikapewa pass ya east afrika ya mwaka mzima ni ndan ya siku moja tu sasa sijajua kwa sikuizi maana hiyo ilikua ni miaka mitano iliyopitaNa vipi kuhusu upatikanaji wa pasi ya dharura ya usafiri east Africa region.upatikanaji wake ukoje
Sent using Jamii Forums mobile app