Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale kawaida yao.....hii kuuza uza mech ipo kwao sana. Hiv ni kwamba wanazembea zembea kimakusud au ni vp mana cwaelew....ina maana hata kama walikubaliana droo, kwahy wachezaji wakifika golin wanarudsha nyuma technically au vp mana khaa!!
hawa waturuki watakuwa wanafix matches sio bure. Yani km movie vile.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
MSAADA MSAADA MSAADA MSAADA

Habari za muda huu kwa mara nyingine tena

Natafuta kazi ndugu zangu watanzania wenzangu

Ata kama uta-nidalalia iyo kazi tutaelewana malipo ndugu yangu

naombeni msaada wenu mwenye kuweza kunisaidia, maana nimeshaangaika sana kutafuta kazi ila naambulia patupu

Nimezunguka sana kwenye viwanda, site za ujenzi ila naambuliwa patupu, naombeni msaada wenu, ata kama nitapata kazi ya ku-volunteer tuu, pia ntashukuru sana ndugu zangu...

Maana umri pia unakimbia, nisaidieni sana

Elimu yangu: Degree

Fani: CYBER SECURITY (ULINZI NA USALAMA WA MIUNDOMBINU YA TEKNOLOJIA)

Other Award: Diploma in computer science (SAYANSI YA KOMPUTA)

Na nimekuwa mbobezi katika mambo ya

》Penetration Testing, kutafuta vulnerabilities, kufanya sniffing, exploits & tools, nina uelewa wa kutosha kuhusiana na social engineering

》ku-secure system kwa kutumia linux, DNS, na kwa kutumia cryptography

》ku-secure connectivity kama vile switch, router, firewalls, vpn, ips(intrusion prevention system ) pamoja na ids (intrusion ditectin system) nadhani wataalum watakuwa wamenielewa kwenye ivyo vifupo

》Digital forensics inverstigation (computer pamoja na simu)

》Computer Networking

》 System analysis and design

MSAADA WENU WAUNGWANA

MPAKA NIMEAMUA KUWAANGUKIA NDUGU ZANGU MNISAIDIE UJUE NIMESHAKATA TAMAA, MAANA

KULIKO KULIA PEKE YANGU, NIMEONA NIWALILIE WATANZANIA WENZANGU MNISAIDIE NDUGU ZANGU

NIMESHATAFUTA SANA KAZI, KUANZIA APPLICATION ZA ONLINE, MPAKA MANUALLY

NOTE: KAZI YEYOTE ILE NTAFANYA ATA KAMA NI NJE YA TAALUMA YANGU, NA NTAIFANYA KWA UAMINIFU MKUBWA MNO

MUNGU WABARIKI SANA

NO YANGU: 0755836347
NAPATIKANA: DSM-MBEZI MSAKUZI

NISAMBAZIENI KWENYE MA-GROUP MENGINE NIPATE MSAADA
 
Uliamini nina odds 10,000 fixed? Kuna vitu ukiviweka kichwani utajikuta unaumiza kichwa chako bure.
My point is,
Huitaji kuwa mislead hao juniors kwa kuwaambia vitu ambavyo si vya kweli, You just tell them the open Truth kua "There is no Fixed game"......Just

Teach them
Direct them
Open their eyes

Imagine kua wewe ndio mgeni na hujui kitu alafu unaingia huu uzi na unakutana na mtu anakumbia vile, it does not make sense. People wapo humu ku learn strategies, ku share tips, kuwekana vizuri ktk hii game.(Ukimlisha mtu kitu cha namna ile utamfanya aje kuibiwa)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jambo nahisi kila siku tunalisema humu juu ya fixed game na watu wanaona ila anapouliza mara nyingine lazima aambiwe kivingine.
 
Google kampun inaitwa Computer sales and services kifupi CSS boss anaitwa Aliraza jessa pale Nina uhakika kwa profesionlism yako utapata kazi office iko upanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umenifanya nicheke peke yangu kama chizi

Sometimes betting ni full stress aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…