Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Alifunga moja ili kuonesha msisitizo akafunga na la pili.Jamani mlioangalia mpira was Man U, VP Lukaku alifunga goal? Nisije kununua bundle kumbe alifunga huku Mimi nilibet asifunge.
Wazee nilideposit 1xbet kwa bitcoin..sasa jana nimepiga hela wananikatalia kuwithdraw..
Zamani nilikuwa natua mpesa..nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo??
Duh! Mambo mengine kama miujiza.. hivi ulimkwepaje Man city hapa?
Dah nimeangalia bwana nimeona lost ya nguvu.Alifunga moja ili kuonesha msisitizo akafunga na la pili.
Mkuu Man city jana nlikuwa simuoni kwa macho ya rohoniii tuuu hahahaDuh! Mambo mengine kama miujiza.. hivi ulimkwepaje Man city hapa?
[emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu Man city jana nlikuwa simuoni kwa macho ya rohoniii tuuu hahaha
View attachment 1034065
Uchinani is back... Tunatest spread point za wachnaView attachment 1034165
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii asilimia ngap mzee baba..nijilipue!