shebydough
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 731
- 524
Nmebet jackpot ya hii nmepatia time zotee helaaa ndio nmepawa 9900 kwer wakuuuuu View attachment 1034359
Sent using Jamii Forums mobile app
Majamv ya raha yake cku lkripukka muhnd lazma atetemeView attachment 1034387
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijichanganya jana sikuona tarehe inabd nisubirieView attachment 1034322
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapoamua kubet basi kua makini na unachobeti usibet kitu hukijui yaan kazi yako ni kuchagua mechi tu da inasikitisha mkuu jackport maana yake iyi hela milion moja na kadhaa inagawanya kwa washindi wote mfano walioshinda ni 1000 na hela waliweka 1500000 maana yake chukua 1500000 gawa kwa watu 1000 kila mmoja atapata 1500 mkiwa mmeshinda watu 15 tu. Chukua 1500000 gawa kwa 15 kila mmoja atapata 100000, haujazulumiwa usifikirie iyo milion moja na kazaa ni yako peke yako ni ya wote watakaoshinda wanagawanaMkuu niliweka jackoprt ya super bet timu 6 ilikuwa milion moja na laki kadhaa lakini wamenipa hela 9900 na niliweka kiasi cha elf moja mach zenye option ya win tu imekubali lakin tokaa Leo asubh wananzungusha hawataki kunipa hela yangu
Nomben msada jaman View attachment 1034250View attachment 1034251
Sent using Jamii Forums mobile app
1x bet, Parimatch,Betpawa,gsb, PrincessbetMsaada wajuzi niangukie wapi kwenye neema tafadhali wananzengo wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmebet jackpot ya hii nmepatia time zotee helaaa ndio nmepawa 9900 kwer wakuuuuu View attachment 1034359
Sent using Jamii Forums mobile app
shemelaUnajitoa ufaham hlf unapata presh hivView attachment 1034397
Alafu inaweza ikawa ni mbinu chafu kwani ni vigumu kudhibitisha kama kweli wameshinda watu wengi kiasi hiki... Yawezekana wameshinda watu wanne lakini wakatangaza wameshinda watu sitini au zaidi!Kila siku mnaambiwa jackport ni Us£nge bado mnaendelea haya Sasa Muendelee kupigwa! Hizo jackport ndo michezo yao hyo utaambiwa hapo mmeshinda wengi kwahyo hilo fungu wameligawa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Won game ya mwisho imekwisha kwa FT 2-1Kimya Kimya nenda kadownload Pesa ODDS 25
View attachment 1034518
Hiv meridian wanakata kodi mkuu au hiyo tax hapo wanarudsha kweny total cashWon game ya mwisho imekwisha kwa FT 2-1
Wanakupa kama bonus unaweza ibetia ukitiki hela inaingia cash unawithdraw kawaidaHiv meridian wanakata kodi mkuu au hiyo tax hapo wanarudsha kweny total cash
Mkuu tupia nyingine jana nilikufata aseno akazinguaWon game ya mwisho imekwisha kwa FT 2-1
shemelaHiv meridian wanakata kodi mkuu au hiyo tax hapo wanarudsha kweny total cash
Wanakupa kama bonus unaweza ibetia ukitiki hela inaingia cash unawithdraw kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app