Guangzhou anaonekana kashiba magolizile aisee naona zimekuwa holaaa!!!
Daah akhsante sana mzee baba sikuwa nimeliwaza hilo!Mkuu umeona heading ya hiyo option lakini?? "Zero bet" ina maana katika dakika hiyo ya game inahesabika 0-0
Dinner savedHawa wakifungana sana ni goli moja
Stake what you can afford to lose View attachment 1038519
Sent using Jamii Forums mobile app
@soka255 ulichangamkia fursa au unakazi ya kuchungulia na kupiga majungu tuGuangzhou anaonekana kashiba magoli
Changamkia fursa acha majungu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Safii Sana mkuu@soka255 ulichangamkia fursa au unakazi ya kuchungulia na kupiga majungu tu
Haya nenda uka withdraw
Dinner saved View attachment 1038549
Sent using Jamii Forums mobile app
X
For only risk taker ........
Stake what you can afford to lose View attachment 1038579
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kujifanya kote mjuaji kumbe hujui hata maana ya clean sheet ?ha haaaaaa
Mkuu kujifanya kote mjuaji kumbe hujui hata maana ya clean sheet ?ha haaaaaa
Hapo maana yake madrid atapata hati safi , hatafungwa goli
Sent using Jamii Forums mobile app