Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MASIKINI WA KESHO WEWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu hii ni moja Kati ya ligi ya HANGARI NB II ambayo betpawa hawakuiweka lakini mnaweza kuona matokeo saizi, hivyo unaweza kuona namna gani hizi kampun za kwetu wanavyochambua ligi za ushindi nakuziweka kwanza pembeni, izo gem zilizoshinda nimefwatilia zilikua na point 1.6 na around point 1.5 ,walioko 1xbet watakua waliziona Kama wanajua kuchambua profitable leagues,kuna wetu wangependa kujua profitable leagues ni zipi hizi ni ligi ambazo ziko less tracked by the bookmakers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi mkuu.. Betpawa waliweka mechi zisizoeleweka kabisa, nilikuja kushangaa baada ya kuangalia 1xbet na kuona kuna mechi za pesa.
Betpawa wameanza uhuni.. Hapa nafanya mpango wa kuwahama.
 
nitaifuatilia hii pia kuna ligi ndogo ya russia na yenyewe iko vzuri kwa magoli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…