Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Una risk 2mil upate elfu 36[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kona kali mbeleee yani hutaamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu atakuwa agent wa Betpawa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bitcoin&NBC visa card

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwithdraw kwa NBC inachukua siku ngapi? Hawakati hela?
Mimi nimewithdraw kwa bank nyingine pesa haijanifikia Siku ya tano Leo. Nimewasiliana na operator was kule anasema mzigo utanifikia baada ya siku saba za kazi. Halafu kingine nimeambiwa bank watanikata $13 kama fee ya transaction kutoka nje
 
Kuwithdraw kwa NBC huwa inagoma ila deposit inakubali, huwa nawithdraw kwa bitcoin
Mkuu kuwithdraw kwa NBC inachukua siku ngapi? Hawakati hela?
Mimi nimewithdraw kwa bank nyingine pesa haijanifikia Siku ya tano Leo. Nimewasiliana na operator was kule anasema mzigo utanifikia baada ya siku saba za kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuwithdraw kwa NBC inachukua siku ngapi? Hawakati hela?
Mimi nimewithdraw kwa bank nyingine pesa haijanifikia Siku ya tano Leo. Nimewasiliana na operator was kule anasema mzigo utanifikia baada ya siku saba za kazi.

Duuh sasa kero hiyo...


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…