Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimesha install VPN, nika download 1xbet ya kenya na kufungua akaunti mpya ishu inakuja nikienda options ya deposit nakuta kuna MPESA Kenya but niki click iyo option ndio inaleta uo ujumbe
We usiende huko yaani naona unataka kutumia kama ulivyokua unadepost kabla hawajaondoa mobile payment huku kwetu!!nenda moja kwa moja kwenye cm yako Fanya muamala kama unavyonunua luku pesa itaingia kwenye account yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooooh ivyo?no need ya kuingia hukukatika app kabisa nitumie tu simu direct. So namba ya kampuni na reference namba naenda weka zipi kule ktk simu?
 
*s7s19*

PSM Makassar - Lao Toyota
Total 2: Individual Total Lao Toyota Over (1.5)
4.06
✅✅✅✅✅
*risky inplay things*

*mr opulence*
 
Ooooh ivyo?no need ya kuingia hukukatika app kabisa nitumie tu simu direct. So namba ya kampuni na reference namba naenda weka zipi kule ktk simu?
Embu refer iyo screenshot yang apo juu mimi niki click deposit ina nipa
My safaricom #
Account # ambayo ni ile user ID ya 1xbet
Kisha business number ya kufanya malipo na Reference number ambayo ni iyo user Id jaribu kuingia kwenye toolkit ya safaricom kwenye sim yako kisha uje kudeposit kiasi kidogo moja kwa moja kupitia sim yako tuone kama haita ingia au laa!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Kwa kutumia app ilikua inaleta iyo msg
 
Ligi ya Japan imenipa lunch saafi mchana mchana! Nasubiri niwekewe mzigo wangu, ila tayari nishachungulia outcomes!
 
Hapo ulisajilia no ya Safaricom wakati una register?

Inavyoonekana acc yako haijawa registered na safaricom pengine ndio maana haileti option
Mawazo yangu

Hebu nenda acc info angalia kama kuna no yako ya safaricom
Nimejisajiri na safaricom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…