Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Naweza kuamini.. Sijui Ronaldo kwann hakucheza..
najuu mzee hapo kanji atakua anaugulia maumivuMm karatanairusha Kwa Genoa
UefaSijajua sababu ya kupumzisha key players wake wote ...
- Chiellini
- Matuidi
- CR7
- Khedira etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kuamini.. Sijui Ronaldo kwann hakucheza..
Bado Na Liva
Nilitoa mkeka bila kuichambua hii game, nikastuka nilipoona comment yako mkuu kuhusu juve, nikaiwahi kuweka double chance nikarudisha mtaji...wapumbavu Hawa waitaliano..wacheza kamari..!!Sijajua sababu ya kupumzisha key players wake wote ...
- Chiellini
- Matuidi
- CR7
- Khedira etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana uhakika kombe wameshabeba maana wana point 75 anayemfatia Napoli ana point 57.Sijajua sababu ya kupumzisha key players wake wote ...
- Chiellini
- Matuidi
- CR7
- Khedira etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana uhakika kombe wameshabeba maana wana point 75 anayemfatia Napoli ana point 57.
Sent using Jamii Forums mobile app