Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Safi sana hii ukipigwa game mbili ukishinda 3 faida unaiona..

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na stake mkuu
Kama unastake mikeka yote sawa kwa swali lako unafaida yes
Mfano kama unastake elf10 maana yake mikeka 5 ni elf50
Ukipigwa miwili umepoteza elf20 na umekula 3 ni elf60
Faida elf10

Kama unastake kulingana na mkeka itategemea faidazaidi au hasara zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…