Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani nielekezeni kwa vodacom unabeti vipi. Na mimi niweke mzigo ,kuna vihela kwenye mpesa vipo vingi vinaniwasha .Maanake nasikia kuna makampuni matatu. Da nimechelewa sana jamani, mpaka leo si ningekuwa kama biligates

Hahahahaha! Hamna cha ulibigeti zaidi ya kufilisika. Kwa mpesa bofya *149*19# utakuwa unachagua option unazotaka.
 
Wakuu,chamuhimu mikeka iwe inatandazwa kweupe kama mlivyokuwa mnafanya mwanzo,japo kila mtu na bahati yake.
 
Subiri ligi ikianza watu watakuwa wanatandaza mikeka kabla haijaanza mechi.
 
Daaah eb EPL ianze manake hv vi ligi vingne vya kisenge 2, juz SKC ya marekan imenikosesha laki 5, kwa kutoat sare, leo tena nimekosa duuuh, Beting ni kujifirisi 2, unashinda Laki, yote inarud kwao! Umask huoooooo,
 
leo meridian wamenipiga 17,000 imeniuma sana

Daaah eb EPL ianze manake hv vi ligi vingne vya kisenge 2, juz SKC ya marekan imenikosesha laki 5, kwa kutoat sare, leo tena nimekosa duuuh, Beting ni kujifirisi 2, unashinda Laki, yote inarud kwao! Umask huoooooo,

Msikate tamaa wazee wenzangu one day tutatoboa...
 
Mie meridian nimebakiza kahela kangu kakuzungusha sitaki iliwe yote hata siku moja simpi timu moja hela ndefu mfano leo ningempa Chelsea sasa ningekuwa nalia, nimepumzika kwa muda
 
Uamuzi huo mzuri andy kusanya nguvu uje kumpiga Kanjibah KO...
 
Wazee wenzangu hali ni mbaya sijapata kuona yani hata ukijaribu 2+ hauli ng'oo
 
Nikimpiga naacha kabisa maana ataweza kula zaidi yangu.
Nimejifunza kuwa na discipline ya betting sitabet kama mwanzo maana nilikuwa natoa hadi 80k
 
Daaah ni kweli hali ni mbaya sana kwa sasa... Lakini ngoja tuone ligi zenyewe zikianza mambo yatakuaje...

Nikimpiga naacha kabisa maana ataweza kula zaidi yangu.
Nimejifunza kuwa na discipline ya betting sitabet kama mwanzo maana nilikuwa natoa hadi 80k

Ni kweli ndugu discipline lazima iwepo katika kubashiri (kubet) la sivyo ni maumivu daily..
 
Back
Top Bottom