The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,170
mbet ndo majanga kabisa hata sijawahi shinda zaidi ni kushindwa hadi nimeacha
M-bet nshawapiga zaid ya mia 3,kwa kuchezea 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbet ndo majanga kabisa hata sijawahi shinda zaidi ni kushindwa hadi nimeacha
Kuna katimu jana Mbet kameniua,mimi nilibet kinafungwa chenyewe kikatoka sale.
jamani nielekezeni kwa vodacom unabeti vipi. Na mimi niweke mzigo ,kuna vihela kwenye mpesa vipo vingi vinaniwasha .Maanake nasikia kuna makampuni matatu. Da nimechelewa sana jamani, mpaka leo si ningekuwa kama biligates
mkuu umehamia wapi
M-bet nshawapiga zaid ya mia 3,kwa kuchezea 50
Wakuu,chamuhimu mikeka iwe inatandazwa kweupe kama mlivyokuwa mnafanya mwanzo,japo kila mtu na bahati yake.
leo meridian wamenipiga 17,000 imeniuma sana
Daaah eb EPL ianze manake hv vi ligi vingne vya kisenge 2, juz SKC ya marekan imenikosesha laki 5, kwa kutoat sare, leo tena nimekosa duuuh, Beting ni kujifirisi 2, unashinda Laki, yote inarud kwao! Umask huoooooo,
Msikate tamaa wazee wenzangu one day tutatoboa...
Mie meridian nimebakiza kahela kangu kakuzungusha sitaki iliwe yote hata siku moja simpi timu moja hela ndefu mfano leo ningempa Chelsea sasa ningekuwa nalia, nimepumzika kwa muda
Uamuzi huo mzuri andy kusanya nguvu uje kumpiga Kanjibah KO...
Nikimpiga naacha kabisa maana ataweza kula zaidi yangu.
Nimejifunza kuwa na discipline ya betting sitabet kama mwanzo maana nilikuwa natoa hadi 80k
Daaah ni kweli hali ni mbaya sana kwa sasa... Lakini ngoja tuone ligi zenyewe zikianza mambo yatakuaje...Wazee wenzangu hali ni mbaya sijapata kuona yani hata ukijaribu 2+ hauli ng'oo
Nikimpiga naacha kabisa maana ataweza kula zaidi yangu.
Nimejifunza kuwa na discipline ya betting sitabet kama mwanzo maana nilikuwa natoa hadi 80k